-
Waziri Mkuu wa Ufaransa: Russia itabaki kuwa dola kuu lenye nguvu
Oct 04, 2022 22:37Waziri Mkuu wa Ufaransa Elizabeth Bourne amesema: Russia ilikuwa na itaendelea kuwa dola kuu lenye nguvu, na wala haitaweza kupuuzwa hata baada ya vita vya Ukraine.
-
Lavrov: Marekani inaisambaratisha Ukraine kwa ajili ya kuishinikiza Russia
Oct 03, 2022 22:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani inasababisha kupata hasara kubwa na kusambaratishwa Ukraine kwa ajili ya kutoa vitisho kwa Russia.
-
Umoja wa Ulaya wapendekeza kifurushi cha vikwazo vipya dhidi ya Russia
Sep 29, 2022 04:27Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya jana usiku alipendekeza duru mpya ya vikwazo dhidi ya Moscow; vikiwemo vikwazo katika bei ya mafuta na kuizuia Russia kuuza mafuta yake ya kiasi cha dola bilioni 7.
-
Russia na China zinataka kuachiliwa fedha za Afghanistan zilizozuiwa
Sep 29, 2022 04:23Wawakilishi wa Russia na China wametaka kuachiwa huru fedha zote za Afghanistan zilizozuiwa. Wamebainisha hayo katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
13 wauawa, 21 wajeruhiwa katika shambulio la ufyatuaji risasi kwenye skuli moja ya Russia
Sep 26, 2022 07:32Polisi ya Russia imetangaza kuwa watu 13 wameuawa na wengine 21 wamejeruhiwa katika shambulio la ufyatuaji risasi lililotokea kwenye skuli moja kusini mwa nchi hiyo.
-
Hotuba ya Biden katika Umoja wa Mataifa na lawama zisizo na msingi kuhusu masuala mbalimbali
Sep 23, 2022 03:33Katika hotuba yake kwenye Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano, Rais Joe Biden wa Marekani aliashiria masuala mbalimbali na kufafanua msimamo wa Washington kuhusu masuala hayo.
-
Uchunguzi wa maoni: Nusu ya wananchi wa Russia hawaoni kuwepo tishio la kushambuliwa kijeshi nchi yao
Sep 21, 2022 22:36Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni huko Russia unaonyesha kuwa asilimia 50 ya wananchi wa Russia wanaamini kuwa hakuna kitisho chochote cha kushambuliwa kijeshi nchi hiyo.
-
Upinzani wa marais wa Russia na China dhidi ya ulimwengu wa kambi moja
Sep 16, 2022 20:53Rais wa Russia, Vladimir Putin, alisema Alkhamisi iliyopita katika mazungumzo yake na mwenzake wa China Xi Jinping yaliyofanyika kando ya mkutano wa kilele wa "Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai" huko Samarkand, nchini Uzbekistan kwamba jitihada za kuunda ulimwengu wa kambi moja hazikubalika.
-
Rais Putin: Kampuni kubwa 80 za Russia kwenda Iran wiki ijayo
Sep 15, 2022 23:37Rais Vladmir Putin wa Russia amesema Moscow imefanya kila iwezalo kuhakikisha kuwa Iran inakua mwanachama kamili wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO).
-
Ombi la kuilazimisha Marekani itimize wajibu wake wa uenyeji wa Umoja wa Mataifa
Sep 13, 2022 00:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema katika mahojiano kwamba Marekani na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres wana wajibu wa kuhakikisha ushiriki wa wawakilishi wote wa nchi wanachama katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unatimia.