Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Ugiriki: Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia vimetudhuru wenyewe

    Ugiriki: Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia vimetudhuru wenyewe

    Sep 12, 2022 02:32

    Waziri Mkuu wa Ugiriki amesema kuwa, vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Moscow vimetoa pigo la kiuchumi kwa nchi zenyewe za Ulaya kabla ya hata Russia.

  • Ujumbe wa ngazi za juu wa HAMAS wawasili katika mji mkuu wa Russia, Moscow

    Ujumbe wa ngazi za juu wa HAMAS wawasili katika mji mkuu wa Russia, Moscow

    Sep 11, 2022 03:03

    Ujumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS umewasili katika mji mkuu wa Russia, Moscow.

  • Kwa nini Biden amekataa kuitangaza Russia kuwa ni nchi inayofadhili ugaidi?

    Kwa nini Biden amekataa kuitangaza Russia kuwa ni nchi inayofadhili ugaidi?

    Sep 08, 2022 22:15

    Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, Karine Jean-Pierre alitangaza Jumanne wiki hii kwamba uamuzi wa Joe Biden wa kutoitangaza Russia kuwa ni mfadhili ugaidi ni wa mwisho.

  • Zakharova: Kuchaguliwa Truss ni ishara ya mgogoro wa demokrasia nchini Uingereza

    Zakharova: Kuchaguliwa Truss ni ishara ya mgogoro wa demokrasia nchini Uingereza

    Sep 07, 2022 22:19

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia amesema kuwa kuchaguliwa Liz Truss kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza ni ishara ya mgogoro katika demokrasia ya nchi hiyo.

  • Kwa mara nyingine Russia yazionya nchi za Ulaya kuhusu misaada ya kijeshi kwa Ukraine

    Kwa mara nyingine Russia yazionya nchi za Ulaya kuhusu misaada ya kijeshi kwa Ukraine

    Sep 06, 2022 06:05

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia kwa mara nyingine tena imetoa onyo kali kwa Umoja wa Ulaya kuhusu madhara ya misaada yao ya kijeshi kwa Ukraine.

  • Russia yasisitiza kuhamishwa makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York

    Russia yasisitiza kuhamishwa makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York

    Sep 05, 2022 03:04

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesisitiza kuwa Moscow inazingatia kikamilifu pendekezo la kuhamisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka Marekani hadi sehemu nyingine.

  • Russia yatishia tena kutumia silaha za nyuklia endapo uwepo wake utahatarishwa

    Russia yatishia tena kutumia silaha za nyuklia endapo uwepo wake utahatarishwa

    Sep 04, 2022 06:33

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema upo uwezekano wa nchi hiyo kutumia silaha za nyuklia endapo uwepo wake utahatarishwa.

  • Mzozo mpya wa Russia na Magharibi kuhusu nishati

    Mzozo mpya wa Russia na Magharibi kuhusu nishati

    Sep 03, 2022 23:08

    Mawaziri wa fedha wa nchi saba zilizoendelea kiviwanda duniani, zinazojulikana kama G7, walikubaliana Ijumaa, Septemba 2, katika mkutano uliofanyika kwa njia ya video, kuweka mipaka ya bei kwa mauzo ya mafuta ya Russia.

  • Mazoezi makubwa ya kijeshi ya Russia, China, India; ishara ya kufeli Magharibi kuitenga Russia

    Mazoezi makubwa ya kijeshi ya Russia, China, India; ishara ya kufeli Magharibi kuitenga Russia

    Sep 02, 2022 23:56

    Licha ya shinikizo la Marekani kwa nchi nyingine kwa ajili ya kuitenga Russia kutokana na vita vya Ukraine, Moscow imeandaa mazoezi makubwa ya kijeshi ya nchi kavu, anga na baharini kwa kuzishirikisha nchi nyingine 13.

  • Kupamba moto vita vya nishati barani Ulaya

    Kupamba moto vita vya nishati barani Ulaya

    Sep 01, 2022 21:57

    Suala la kudhaminiwa mahitaji ya gesi kwa nchi za Ulaya sasa limekuwa tatizo sugu kwa nchi hizo. Nchi za Ulaya, ambazo ziliamua kuiwekea Russia vikwazo vya kila aina ili kuishinikiza katika vita vya Ukraine, sasa zinaituhumu Moscow kwamba inaitumia gesi kama silaha ya vita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS