-
Russia: Ukraine imekiri kuwa na mpango wa kuunda bomu la atomiki
Aug 31, 2022 21:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema, serikali ya Ukraine imekiri kuwa na mpango wa kuunda bomu la atomiki na katu haijawahi kuficha kwamba ilikuwa ikijiandaa kwa ajili ya kukabiliana kijeshi na Russia.
-
Kifo cha Gorbachev na mafunzo ya kihistoria
Aug 31, 2022 05:56Mikhail Gorbachev, kiongozi wa mwisho wa Shirikisho la Sovieti, alifariki dunia Jumanne usiku akiwa na umri wa miaka 91 katika hospitali moja mjini Moscow baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kifo cha Gorbachev kimekabiliwa na hisia nyingi za ndani na nje, ambapo Rais Vladimir Putin wa Russia, maafisa wa UN na Katibu Mkuu wake na wakuu kadhaa wa nchi, wametuma salamu za rambirambi.
-
Iran na Russia kujadili Ukraine na JCPOA mjini Moscow
Aug 30, 2022 23:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema lengo kuu la safari yake mjini Moscow ni kujaribu kutatua mgogoro wa Ukraine.
-
Russia: Mashambulizi dhidi ya Syria yamefichua undumakuwili wa Magharibi
Aug 30, 2022 21:52Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amelaani vikali mashambulio haramu ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria na kusisitiza kuwa, hujuma hizo zimefichua sura halisi ya Wamagharibi likija suala la haki za binadamu.
-
Russia: Marekani irejeshe fedha za Afghanistan zilizoibwa
Aug 30, 2022 05:13Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa ameitaka Marekani izirejeshe fedha zilizoibiwa Afghanistan.
-
Wanachama kadhaa wa Umoja wa Ulaya wapinga vikwazo dhidi ya Russia
Aug 29, 2022 02:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland amesema kuwa, kuna wanachama kadhaa wa Umoja wa Ulaya wanapinga vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia.
-
Russia: Hatutasimamisha vita hata Ukraine ikiacha azma ya kujiunga na NATO
Aug 28, 2022 02:16Rais wa zamani wa Russia amesema iwapo Ukraine ingeliruhusiwa kujiunga na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO, Vita vya Tatu vya Dunia vingelikuwa vimeshaanza.
-
Russia: Hatutasitisha operesheni ya kijeshi Ukraine mpaka tuyafikie malengo yetu yote
Aug 26, 2022 22:52Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia amesema nchi hiyo haitasitisha operesheni yake maalumu ya kijeshi ndani ya ardhi ya Ukraine mpaka iyafikie malengo yake yote.
-
Putin aongeza idadi ya wanajeshi wa Russia, wapindukia milioni 1
Aug 26, 2022 02:41Rais Vladimir Putin wa Russia amesaini dikrii ya kuongeza idadi ya wanajeshi wa nchi hiyo, huku operesheni maalumu ya kijeshi ya Moscow dhidi ya Ukraine ikiingia mwezi wa saba.
-
Kuuawa bintiye Dugin na kupanuka zaidi mgogoro wa Russia na Ukraine
Aug 24, 2022 05:08Rais Vladimir Putin wa Russia ametuma salamu zake za rambirambi kwa wazazi wa Darya Dugina, binti ya Alexander Dugin, mwananadharia mashuhuri wa Russia. Putin ameutaja uhalifu huo kuwa "mbaya na ukatili" na akamuelezea Darya Dugina kama mtu aliyekuwa mwerevu, mwenye talanta na moyo wa kweli wa utaifa wa Russia.