Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Trump azikosoa Saudi Arabia na Russia kwa kuvuruga soko la mafuta

    Trump azikosoa Saudi Arabia na Russia kwa kuvuruga soko la mafuta

    Mar 31, 2020 02:29

    Rais Donald Trump wa Marekani sambamba na kuzikosoa Saudi Arabia na Russia kutokana na kuvuruga soko la mafuta, amesema kuwa Riyadh na Moscow zimepatwa na wendawazimu katika suala hilo.

  • Russia yaihutubu Uturuki: Kubadilishwa jina bandia tu la magaidi nchini Syria hakutoshi

    Russia yaihutubu Uturuki: Kubadilishwa jina bandia tu la magaidi nchini Syria hakutoshi

    Mar 28, 2020 03:42

    Russia imeitaka Uturuki iwapambanue kivitendo magaidi na wapinzani nchini Syria kwa sababu kubadilishwa jina bandia tu la magaidi hao hakukubaliki.

  • Waziri Mkuu wa Uingereza akumbwa na corona, mtu mmoja anafariki dunia kila dakika 13 nchini humo

    Waziri Mkuu wa Uingereza akumbwa na corona, mtu mmoja anafariki dunia kila dakika 13 nchini humo

    Mar 27, 2020 09:08

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amekumbwa na ugonjwa hatari wa COVID-19 unaoenea kwa kasi kubwa kote ulimwenguni.

  • Machaguo mawili ya Moscow kwa makundi ya kigaidi, Idlib nchini Syria

    Machaguo mawili ya Moscow kwa makundi ya kigaidi, Idlib nchini Syria

    Mar 18, 2020 23:13

    Russia imeyapa machaguo mawili makundi ya kigaidi yananayofadhiliwa na nchi za Magharibi katika eneo la Idlib huko kaskazini mwa Syria. Mwezi Januari mwaka huu jeshi la Syria na washirika wake walianzisha operesheni ya kuusafisha mkoa huo wa Idlib, ambao ndio ngome ya mwisho ya magaidi ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Takwa la Russia la kuondolewa vikwazo visivyo vya kiutu vya Marekani dhidi ya Iran

    Takwa la Russia la kuondolewa vikwazo visivyo vya kiutu vya Marekani dhidi ya Iran

    Mar 17, 2020 23:39

    Kuendelea vikwazo vya Marekani vyenye wigo mpana na ambavyo havijawahi kushuhudiwa dhidi ya Iran ambavyo vilianza kutekelezwa baada ya Washington kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA Mei 2018, ni hatua ambayo ilikabiliwa na malalamiko na ukosoaji mkubwa katika uga wa kimataifa ambapo hata washirika wa Ulaya wa Washington nao waliikosoa hatua hiyo isiyo ya kibinadamu.

  • Mahakama ya Katiba ya Russia yapasisha sheria ya marekebisho ya Katiba

    Mahakama ya Katiba ya Russia yapasisha sheria ya marekebisho ya Katiba

    Mar 17, 2020 07:16

    Mahakama ya Katiba ya Russia imepasisha mapendekezo yaliyotolewa na Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin kwa ajili ya kurekebisha Katiba.

  • Putin asaini mpango wa kuifanyia marekebisho katiba ya Russia

    Putin asaini mpango wa kuifanyia marekebisho katiba ya Russia

    Mar 15, 2020 04:37

    Suala la kuifanyia marekebisho katiba na mustakbali wa kisiasa wa Rais Vladimir Putin wa Russia ni jambo lililopewa uzito miongoni mwa matukio ya kisiasa ya karibuni huko Russia. Suala hilo linatazamiwa kuathiri pakubwa mustakbali wa Russia.

  • Russia yatahadharisha juu ya athari mbaya za kuwepo majeshi ya nchi ajinabi katika Ghuba ya Uajemi

    Russia yatahadharisha juu ya athari mbaya za kuwepo majeshi ya nchi ajinabi katika Ghuba ya Uajemi

    Mar 07, 2020 11:57

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ametahadharisha kuhusu athari mbaya za kuwepo majeshi ya nchi ajinabi katika eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Russia: Syria ina haki ya kuyaangamiza makundi ya kigaidi yaliyoko ndani ya ardhi yake

    Russia: Syria ina haki ya kuyaangamiza makundi ya kigaidi yaliyoko ndani ya ardhi yake

    Mar 07, 2020 03:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesisitiza kuwa, serikali ya Syria ina haki ya kuyatokomeza na kuyaangamiza makundi ya kigaidi yaliyoko katika ardhi yake.

  • Guterres apongeza makubaliano ya Russia-Uturuki kuhusiana na mgogoro wa Syria

    Guterres apongeza makubaliano ya Russia-Uturuki kuhusiana na mgogoro wa Syria

    Mar 06, 2020 04:39

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amepongeza makubaliano yaliyofikiwa baina ya Russia na Uturuki kuhusiana na usiitishaji vita katika mkoa wa Idlib nchini Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS