Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rwanda

  • Rais Kagame ataka kuondolewa vikwazo Zimbabwe na Sudan

    Rais Kagame ataka kuondolewa vikwazo Zimbabwe na Sudan

    Jun 04, 2020 03:03

    Rais Paul Kagame wa Rwanda ametoa mwito wa kuondolewa vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Zimbabwe na Sudan ili kuzisaidia nchi hizo katika vita dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.

  • Rwanda yaripoti kifo cha kwanza cha ugonjwa wa COVID-19

    Rwanda yaripoti kifo cha kwanza cha ugonjwa wa COVID-19

    May 31, 2020 07:19

    Wizara ya Afya ya Rwanda imetangaza kifo cha kwanza kilichosababishwa na ugonjwa wa COVID-19 (corona) katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

  • Kabuga, mshukiwa mkuu wa mauaji ya kimbari Rwanda akanusha tuhuma dhidi yake

    Kabuga, mshukiwa mkuu wa mauaji ya kimbari Rwanda akanusha tuhuma dhidi yake

    May 27, 2020 22:47

    Felicien Kabuga, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambaye alikuwa mafichoni kwa muda wa miaka 26 kabla ya kukamatwa siku chache zilizopita nchini Ufransa amekanusha mashitaka ya kuhusika na mauaji hayo.

  • SAUTI, Serikali ya Rwanda: Washukiwa wote wa mauaji ya kimbari lazima watatiwa mbaroni wakati wowote ule

    SAUTI, Serikali ya Rwanda: Washukiwa wote wa mauaji ya kimbari lazima watatiwa mbaroni wakati wowote ule

    May 21, 2020 11:08

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali ya Rwanda amesema kuwa baada ya kumtia mbaroni mshukiwa mkuu wa mauaji ya kimbari ya nchi hiyo ya mwaka 1994, bwana Felician Kabuga, msako unaendelea.

  • Mafuriko yaua watu 260 Kenya, Rwanda na Somalia

    Mafuriko yaua watu 260 Kenya, Rwanda na Somalia

    May 08, 2020 03:48

    Kwa akali watu 260 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi za Afrika Mashariki za Kenya, Rwanda na Somalia.

  • Polisi ya Rwanda yawakamata watu 1,400 jijini Kigali kwa kukiuka 'kafyu ya corona'

    Polisi ya Rwanda yawakamata watu 1,400 jijini Kigali kwa kukiuka 'kafyu ya corona'

    May 07, 2020 03:37

    Watu 1,400 wametiwa nguvuni na polisi katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali kwa kukiuka agizo la kutotoka nje usiku, kama moja ya hatua ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona.

  • SAUTI, Madereva wa malori ya kubeba mafuta ya petroli kutoka Tanzania na Kenya waitaka Rwanda kuwafutia ushuru wa usalama

    SAUTI, Madereva wa malori ya kubeba mafuta ya petroli kutoka Tanzania na Kenya waitaka Rwanda kuwafutia ushuru wa usalama

    Apr 29, 2020 10:22

    Baadhi ya madereva wa malori ya kubeba mafuta ya petroli kutoka bandari za Dar es salaam, Tanzania na Mombasa, Kenya wameiomba Wizara ya Biashara na Viwanda ya Rwanda kuwaondolea ushuru wanaoulipa kila siku kwa ajili ya usalama wa magari yao.

  • Kampeni za uchaguzi mkuu kuanza kesho Jumatatu nchini Burundi

    Kampeni za uchaguzi mkuu kuanza kesho Jumatatu nchini Burundi

    Apr 26, 2020 07:05

    Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ametia saini rasmi amri ya kuanza kampeni za uchaguzi mkuu wa rais bunge na madiwani nchini humo. Kampeni hizo zitaanza kesho Jumatatu na kuendelea hadi Jumapili ya tarehe 17 mwezi ujao wa Mei.

  • SAUTI, Hadi sasa serikali ya Rwanda bado haijasajili kifo wala kuwa na mgonjwa aliyelazwa ICU kwa virusi vya Corona

    SAUTI, Hadi sasa serikali ya Rwanda bado haijasajili kifo wala kuwa na mgonjwa aliyelazwa ICU kwa virusi vya Corona

    Apr 20, 2020 11:55

    Serikali ya Rwanda imesema inatathmini uwezekano wa kulifanya suala la kuvaa barakoa kuwa la lazima kwa raia wa nchi hiyo ikiwa ni jitihada mpya za kupambana na virus hatari vya Corona.

  • Licha ya kupita miaka 26 ya mauaji ya kimbari Rwanda, bado athari zake zingalipo + Sauti

    Licha ya kupita miaka 26 ya mauaji ya kimbari Rwanda, bado athari zake zingalipo + Sauti

    Apr 09, 2020 08:43

    Wakati Rwanda ikiendelea kuomboloza mauaji ya kimbari dhidi ya jamii ya Watutsi ya mwaka 1994, bado kuna walionusurika na mauaji ambao wanaendelea kuishi na msongo wa mawazo kutokana na athari za mauaji hayo. Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS