-
SAUTI, Serikali ya Rwanda yaongeza zuio la siku 15 zaidi la kutotoka nje ili kukabiliana na virusi vya Corona
Apr 02, 2020 12:52Serikali ya Rwanda imeongeza siku za zuio la raia wake kutotoka majumbani kwao kwa muda wa siku 15 zaidi.
-
Waathirika wa corona Rwanda wafikia 50, Rais Museveni atangaza ongezeko la waathiriwa Uganda
Mar 27, 2020 11:03Janga la ugonjwa wa COVID19 na virusi vya corona linaloisumbua dunia limeendelea kulinyemea kwa kasi kubwa bara la Afrika baada ya Rwanda kuripoti maambukizi mapya 9 ya virusi hivyo.
-
SAUTI, Serikali ya Rwanda yapiga marufuku safari zote za ndege kuanzie kesho Ijumaa, kuzuia maambukizi ya Corona
Mar 19, 2020 13:11Serikali ya Rwanda imepiga marufuku ya siku 30 kwa safari zote za ndege zinazoingia au kutoka nchini humo katika juhuzi za kukabiliana na virusi vya Corona.
-
Corona yaingia Rwanda, virusi hivyo vyasababisha shule kufungwa Kenya
Mar 15, 2020 12:14Serikali ya Rwanda imethibitisha kuwa na mgonjwa mmoja aliyeambukizwa virusi vya Corona, huku ugonjwa huo ukiendelea kuenea kwa kasi katika nchi za Afrika na kote duniani kwa ujumla.
-
Uganda yamkamata jenerali wa zamani wa jeshi kwa tuhuma za kutaka kumpindua Museveni
Mar 13, 2020 09:19Jeshi la Polisi Uganda limetangaza leo Ijumaa habari ya kumtia mbaroni jenerali wa zamani wa jeshi la nchi hiyo kwa madai ya kuomba msaada na uungaji mkono wa Rwanda ili kumuondoa madarakani Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo.
-
Rwanda yasitisha mashtaka dhidi ya raia 17 wa Uganda
Feb 20, 2020 08:46Wizara ya Mambo ya Nje ya Rwanda imetangaza kuwa, nchi hiyo imesitisha mashtaka dhidi ya raia 17 wa Uganda waliokamatwa nchini humo.
-
Kagame: Siwezi kuwavumilia wezi na watu wasio na nidhamu serikalini + Sauti
Feb 18, 2020 07:43Wiki moja baada ya kuwafuta kazi mawaziri wake watatu, Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema kwa mara nyingine tena kwamba hatavumilia hata kidogo viongozi wasio na nidhamu katika serikali yake. Ndani ya wiki moja tu Rais Paul Kagame amewafuta mawaziri watatu kutokana na makosa ya ulaji rushwa, udanganyifu pamoja na ukosefu wa nidhamu mbele ya wananchi. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi
-
Jeshi la DRC laikabidhi Rwanda waasi 71 wa Kihutu
Dec 22, 2019 10:37Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeikabidhi Rwanda mamia ya Wanyarwanda wanaohusishwa na kundi moja la waasi la Rwanda linaloendesha harakati zake mashariki mwa DRC.
-
SAUTI, Mkatasa wa kukwama mazungumzo kati ya Rwanda na Uganda, licha ya nchi kadhaa kujitahidi kufanya upatanishi
Dec 14, 2019 13:04Mazungumzo kati ya wajumbe wa Rwanda na Uganda yaliyofanyika jana Ijumaa nchini Uganda yalimalizika bila kufikiwa natija iliyokuwa ikitarajiwa.
-
Mazungumzo ya Uganda na Rwanda yagonga mwamba
Dec 14, 2019 04:38Mkutano wa wajumbe wa Rwanda na Uganda uliofanyika jana Ijumaa jijini Kampala haujakuwa na tija.