-
Rwanda: Tunafuatilia kadhia ya kukamatwa mamia ya raia wetu Uganda
Nov 26, 2019 11:25Balozi wa Rwanda jijini Kampala amesema wanafuatilia kwa karibu habari ya kukamatwa mamia ya Wanyarwanda na maafisa usalama wa Uganda, katika mji wa Kisoro, magharibi mwa Uganda.
-
Burundi: Waasi wa Rwanda ndio wamewaua askari wetu 8 na kuwajeruhi wengine
Nov 19, 2019 12:56Wizara ya Ulinzi pamoja na duru za kijeshi za Burundi zimetangaza kwamba askari wanane wa nchi hiyo wameuawa katika shambulio lililotokea karibu na mpaka wa Rwanda.
-
Jeshi la Congo lamuua kiongozi wa tawi la waasi wa FDLR kutoka Rwanda
Nov 11, 2019 00:10Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetangaza kuwa limemuua kiongozi wa tawi lililojitenga la kundi la waasi wa Kihutu la Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR) mashariki mwa nchi hiyo.
-
SAUTI, Hivi karibuni Rwanda itaanza kuzalisha magari ya kisasa yanayotumia umeme
Oct 30, 2019 01:16Katika juhudi za maendeleo nchi ya Rwanda itaanza kuunganisha magari yanayotumia umeme.
-
UN: Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya
Oct 12, 2019 04:27Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya kufikia sasa.
-
SAUTI, Vijana elfu 10 wa nchi za Afrika wakutana mjini Kigali, Rwanda kujadili mustakbali wao ndani ya bara hilo
Oct 11, 2019 12:55Jumla ya Vijana 10,000 kutoka nchi zote za Kiafrika na baadhi ya wawakilishi wa mashirika ya vijana ulimwenguni wanakutana mjini Kigali, Rwanda.
-
Watu 8 wauwa karibu na mbuga ya wanyama nchini Rwanda
Oct 05, 2019 10:59Watu wanane wameuawa katika shambulizi la watu waliobeba silaha karibu na mbuga ya wanyama ya Volcanoes kaskazini mwa Rwanda.
-
Chama cha FDU-Inkingi cha Rwanda: Kuuawa kwa visu kiongozi wetu hakutotunyamazisha
Sep 25, 2019 04:24Chama cha upinzani cha FDU-Inkingi cha nchini Rwanda kimesema kuwa, kupigwa visu hadi kufa afisa mwandamizi wa chama hicho, hakutowanyamazisha na wataendelea na kampeni yao ya kuikosoa serikali ya Rais Paul Kagame.
-
Kiongozi wa wasi wa FDLR kutoka Rwanda auawa huko Congo DR
Sep 19, 2019 03:10Kiongozi wa waasi wa Kihutu kutoka Rwanda aliyekuwa akisakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kwa tuhuma za kufanya jinai za kivita ameuawa kwa kipigwa risasi na askari wa jeshi la Congo.
-
Rwanda na Uganda zaahidi kufungamana na Makubaliano ya Luanda
Sep 17, 2019 09:22Rwanda na Uganda kwa mara nyingine tena zimesisizia umuhimu wa kufungamana na Makubaliano ya Luanda yanayozitaka nchi mbili hizo jirani zijizuie na vitendo vyovyote vya uhasama.