SAUTI, Hivi karibuni Rwanda itaanza kuzalisha magari ya kisasa yanayotumia umeme
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i56941-sauti_hivi_karibuni_rwanda_itaanza_kuzalisha_magari_ya_kisasa_yanayotumia_umeme
Katika juhudi za maendeleo nchi ya Rwanda itaanza kuunganisha magari yanayotumia umeme.
(last modified 2023-11-27T12:14:11+00:00 )
Oct 30, 2019 04:46 UTC

Katika juhudi za maendeleo nchi ya Rwanda itaanza kuunganisha magari yanayotumia umeme.

Magari hayo yatakuwa yakiunganishwa na kampuni ya magari ya Volkswagen ya nchini Ujerumani ambayo mwezi Juni mwaka jana ilifungua kiwanda chake cha kwanza cha kuunganisha magari nchini Rwanda.

Rais Paul Kagame alipofungua kiwanda cha Volkswagen mwaka jana nchini humo 

Katika ufunguzi wa kiwanda hicho, Rais Paul Kagame na uongozi wa kampuni hiyo walisisitiza azma yao ya kukomesha uagizaji wa magari yaliyokwishatumiwa kutoka nchi za ng'ambo na badala yake raia wa nchi hiyo watumie magari mapya.

Katika sherehe za ufunguzi mwaka jana

Tujiunge na mwandishi wetu wa mjini Kigali, Silvanus Karemera kwa kubonyza alama ya sauti pale juu..………/