-
Rwanda kuwapokea mamia ya wakimbizi waliokwama Libya
Sep 11, 2019 02:31Serikali ya Rwanda imekubali kuwapokea mamia ya wakimbizi na watu wanaotafuta hifadhi waliokwama nchini Libya.
-
Katibu Mkuu wa UN apongeza mapatano ya Uganda na Rwanda
Aug 23, 2019 22:14Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amekaribisha kusainiwa makubaliano ya maelewano baina ya marais wa Uganda na Rwanda, yanayolenga kurejesha uhusiano wa pande mbili katika hali ya kawaida.
-
Rwanda yafunga mpaka wake na Congo DR kwa kuhofia virusi vya Ebola
Aug 01, 2019 08:18Serikali ya Rwanda imefunga mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya kugunduliwa kesi ya tatu ya muathirika wa virusi vya ugonjwa wa Ebola katika mji wa mpakani wa Goma.
-
SAUTI, Rwanda yaitaka Uganda itoe maelezo ya kina, kwa nini raia wake 40 waliokuwa kanisani walikamatwa na kuteswa
Jul 26, 2019 10:42Wiki mbili baada ya nchi za Angola na Jamhuri ya Kidemokarsia ya kongo kutangaza kuwa wapatanishi katika mzozo unaoendelea kufukuta kati ya nchi za Uganda na Rwanda, serikali Kampala, imewatia mbaroni zaidi ya raia 40 wa Rwanda kwa tuhuma za kufanya ujasusi.
-
Rwanda haijakanusha wala kuthibitisha taarifa za kuingia Ebola nchini humo + Sauti
Jul 19, 2019 01:34Serikali ya Rwanda haijathibitisha wala kukanusha taarifa kuhusu mwanamke mmja raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyefariki dunia kwa ugonjwa wa Ebola wiki iliyopiwa alikuwa ameingia Rwanda kabla ya kuelekea Uganda au la. Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali...
-
WHO: Yumkini ugonjwa hatari wa Ebola umesambaa hadi nchini Rwanda
Jul 18, 2019 07:31Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mwanamke raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyeaga dunia mapema mwezi huu kutokana na homa hatari ya Ebola aliingia nchini Rwanda akiwa ameathiriwa na ugonjwa huo na huenda alisambaza virusi hivyo nchini humo kabla ya kuelekea nchini Uganda alikofia.
-
Polisi wawashikilia watuhumiwa 10 utekaji watu Rwanda + Sauti
Jun 27, 2019 04:29Polisi mjini Kigali Rwanda inawashikilia watu kumi na saba wakiwemo Wanyarwanda 15 na Wakenya wawili kwa shutuma za kuwatapeli vijana zaidi ya elfu tatu wakiwaahidi ajira hewa za ujasiriamali. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi...
-
Rwanda yaitaka Burundi iwashughulike wahalifu 6,000 wa mauaji ya kimbari
Jun 07, 2019 03:38Mwendesha mashtaka mkuu wa Rwanda Jean Mutangana ametoa wito kwa nchi jirani ya Burundi kushughulikia watu ambao amedai walihusika na mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda dhidi ya Watutsi.
-
SAUTI, Serikali ya Rwanda imepitisha muswada wa sheria inayofuta sheria zote zilizotungwa wakoloni
Jun 06, 2019 12:41Bunge nchini Rwanda limepitisha muswada wa sheria ambao unalenga kufuta sheria zote zilizotungwa kabla na wakati wa ukoloni.
-
SAUTI, Rais Paul Kagame wa Rwanda: Wale wanaokusudia kuchafua amani yetu tutawanasa popote walipo duniani, ni muda tu
May 09, 2019 00:23Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema kuwa, wale wote wanaokusudia kuchafua usalama na amani ya Rwanda watanaswa na serikali ya Kigali popote pale walipo duniani.