Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rwanda

  • Wanamgambo kadhaa wa Rwanda wakamatwa nchini Burundi

    Wanamgambo kadhaa wa Rwanda wakamatwa nchini Burundi

    May 01, 2019 03:23

    Serikali ya Burundi imetangaza habari ya kuwatia mbaroni wanamgambo saba wa Rwanda na kisha kuwakabidhi kwa serikali ya Kigali.

  • Rwanda yamkamata kinara wa kundi la waasi la NFL

    Rwanda yamkamata kinara wa kundi la waasi la NFL

    Apr 30, 2019 22:05

    Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa imemkamata mtu anayejitaja kuwa mkuu wa kundi la waasi la National Liberation Force (NLF)

  • New Zealand, nchi ya kwanza kuikabidhi Rwanda nyaraka za mauaji ya kimbari

    New Zealand, nchi ya kwanza kuikabidhi Rwanda nyaraka za mauaji ya kimbari

    Apr 20, 2019 22:11

    New Zealand imekuwa nchi ya kwanza duniani kuikabidhi Rwanda nyaraka zinazohusiana na mauaji ya kimbari ya mwaka 1994.

  • Rwanda yawaenzi waliouawa katika mauaji ya kimbari robo karne iliyopita

    Rwanda yawaenzi waliouawa katika mauaji ya kimbari robo karne iliyopita

    Apr 07, 2019 10:30

    Wananchi wa Rwanda leo wamekusanyika kuwaenzi Watutsi 800,000 na Wahutu wenye misimamo ya wastani waliouawa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyojiri katika kipindi cha miezi mitatu miaka 25 iliyopita.

  • Rais wa Ufaransa atoa amri ya kuchunguzwa nafasi ya Paris katika mauaji ya halaiki nchini Rwanda

    Rais wa Ufaransa atoa amri ya kuchunguzwa nafasi ya Paris katika mauaji ya halaiki nchini Rwanda

    Apr 06, 2019 21:57

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameipatia kamisheni moja ya nchi hiyo jukumu la kufuatilia iwapo Paris ilikuwa na nafasi katika mauaji ya halaiki ya muongo wa 90 nchini Rwanda au la.

  • Mahakama Kuu ya Rwanda yatoa hukumu ya kifungo jela kwa washtakiwa 15 wa ugaidi

    Mahakama Kuu ya Rwanda yatoa hukumu ya kifungo jela kwa washtakiwa 15 wa ugaidi

    Mar 23, 2019 03:10

    Mahakama Kuu ya Rwanda imewahukumu watu 13 kifungo cha miaka mitano jela na wengine wawili kifungo cha miaka kumi kila mmoja baada ya kuwapata na hatia ya kuwa wanachama wa makundi yenye misimamo ya kufurutu mpaka ya Al Shabaab na Daesh (ISIS) pamoja na kuyasaidia na kuyaunga mkono makundi hayo.

  • Usalama wa chakula nchini Rwanda hatarini+SAUTI

    Usalama wa chakula nchini Rwanda hatarini+SAUTI

    Feb 21, 2019 13:08

    Wizara ya Kilimo nchini Rwanda imesema ndani ya kipindi cha miaka miwili iliyopita eneo la ardhi kwa ajili ya kilimo lilipungua kutokana na kasi ya ujenzi wa makazi ya raia.

  • Kagame: Hata kama Rwanda isingekuwepo, Burundi ingelikuwa na matatizo tu

    Kagame: Hata kama Rwanda isingekuwepo, Burundi ingelikuwa na matatizo tu

    Feb 21, 2019 12:07

    Rais Paul Kagame wa Rwanda amevunja kimya chake na kuzungumzia uhasama wa miaka kadhaa sasa kati ya nchi yake na Burundi, huku akisisitiza kuwa mvutano huo sio mkubwa kiasi ambacho serikali ya Bujumbura inataka uonekane.

  • SAUTI, Serikali za Kiafrika zimetakiwa kuacha kutoa maneno matupu bali zifanye vitendo kulinda mazingira

    SAUTI, Serikali za Kiafrika zimetakiwa kuacha kutoa maneno matupu bali zifanye vitendo kulinda mazingira

    Feb 15, 2019 13:07

    Serikali za mataifa mbalimbali ya Afrika zimetakiwa kutenga kiasi kikubwa cha fedha kwenye bajeti zao, ili kukomesha tatizo la uharibifu wa mazingira ambalo linaendelea kuongezeka barani humo.

  • Taarifa: Ufaransa ilifahamu njama za mauaji ya kimbari Rwanda

    Taarifa: Ufaransa ilifahamu njama za mauaji ya kimbari Rwanda

    Feb 07, 2019 19:08

    Shirika la Ujasusi la Ufaransa DGSE lilikuwa na taarifa za kiitelijensia kuhusu njama ya mauaji ya rais wa zamani wa Rwanda, Juvenal Habyarimana, yaliyopelekea kuanza kwa mauaji ya kimbari nchini humo mwaka 1994.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS