Rwanda haijakanusha wala kuthibitisha taarifa za kuingia Ebola nchini humo + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i54851-rwanda_haijakanusha_wala_kuthibitisha_taarifa_za_kuingia_ebola_nchini_humo_sauti
Serikali ya Rwanda haijathibitisha wala kukanusha taarifa kuhusu mwanamke mmja raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyefariki dunia kwa ugonjwa wa Ebola wiki iliyopiwa alikuwa ameingia Rwanda kabla ya kuelekea Uganda au la. Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali...
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jul 19, 2019 01:34 UTC