Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rwanda

  • SAUTI, Kampeni za uchaguzi nchini Rwanda zaanza rasmi, Rais Kagame asema hana wasi wasi na ushindi

    SAUTI, Kampeni za uchaguzi nchini Rwanda zaanza rasmi, Rais Kagame asema hana wasi wasi na ushindi

    Jul 14, 2017 12:34

    Nchini Rwanda zimeanza kampeini za uchaguzi wa rais ambapo Rais Paul Kagame wa nchi hiyo ameonyesha kutokuwa na wasi wasi wowote na upinzani wake.

  • Human Rights Watch: Rwanda imewaua watu 37 kwa makosa madogo

    Human Rights Watch: Rwanda imewaua watu 37 kwa makosa madogo

    Jul 13, 2017 23:14

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema katika ripoti yake kwamba, vikosi vya usalama nchini Rwanda vimewaua takriban watu 37 wanaoshukiwa kufanya makosa madogo madogo tangu mwezi Aprili mwaka jana.

  • SAUTI, Polisi ya Rwanda: Ole wao waandishi wa habari au watu watakaotoa taarifa potofu kwenye kampeni

    SAUTI, Polisi ya Rwanda: Ole wao waandishi wa habari au watu watakaotoa taarifa potofu kwenye kampeni

    Jul 13, 2017 09:38

    Police nchini Rwanda imewaonya wapiga kura na waandishi wa habari kuhusu suala lolote linaloweza kupelekea wao kujikuta kwenye chini ya mkono wa sheria.

  • SAUTI, Elimu ya vyuo vikuu vya Afrika iko chini sana ikilinganishwa na ya vyuo vikuu vya mabara mengine

    SAUTI, Elimu ya vyuo vikuu vya Afrika iko chini sana ikilinganishwa na ya vyuo vikuu vya mabara mengine

    Jul 08, 2017 05:16

    Watalaam wa elimu barani Afrika wamekiri kwamba ukosefu wa kiwango cha ubora wa elimu barani humo kimesababisha kudorora kwa raslimali yenye uwezo wa kuinua maendeleo kwa kasi inayotakiwa.

  • Nyaraka mpya zafichua nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda

    Nyaraka mpya zafichua nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda

    Jul 01, 2017 08:35

    Nyaraka mpya za kihistoria zilizochapishwa hivi karibuni kwa mara nyingine tena zimethibitisha nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda baada ya kupita miaka 23 tangu kutekelezwa mauaji hayo.

  • SAUTI: Rwanda yasoma bajeti yake leo yaonyesha ongezeko la asilimia 7.6%, kilimo chazidi kutupwa mkono

    SAUTI: Rwanda yasoma bajeti yake leo yaonyesha ongezeko la asilimia 7.6%, kilimo chazidi kutupwa mkono

    Jun 08, 2017 10:57

    Rwanda imetangaza bajeti yake sambamba na baadhi ya nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika mashariki.

  • SAUTI: Kongamano la viongozi wa Afrika la Sayansi na Teknolojia lamemalizika Kigali, Rwanda bila kufikiwa makubaliano

    SAUTI: Kongamano la viongozi wa Afrika la Sayansi na Teknolojia lamemalizika Kigali, Rwanda bila kufikiwa makubaliano

    May 12, 2017 12:31

    Kongamano la siku tatu lililokuwa likifanyika mjini Kigali, Rwanda kuhusiana na masuala ya sayansi na teknolojia limemalizika bila kufikiwa makubaliano tarajiwa.

  • UNESCO yaafiki ombi la Rwanda kuhusu kumbukizi za mauaji ya kimbari 1994

    UNESCO yaafiki ombi la Rwanda kuhusu kumbukizi za mauaji ya kimbari 1994

    May 11, 2017 10:26

    Mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) ametangaza kuunga mkono ombi la Rwanda la kutaka maeneo manne yenye kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 yajumuishwe katika orodha ya Turathi za Dunia ya shirika hilo.

  • SAUTI: Viongozi wa nchi za Umoja wa Afrika wakamilisha kikao chao mjini Kigali Rwanda na ajenda ya 'kuchapa kazi na kuachana na maneno'

    SAUTI: Viongozi wa nchi za Umoja wa Afrika wakamilisha kikao chao mjini Kigali Rwanda na ajenda ya 'kuchapa kazi na kuachana na maneno'

    May 08, 2017 12:17

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za bara la Afrika wamekamilisha kikao chao cha faragha kilichodumu kwa siku mbili mjini Kigali, Rwanda.

  • Morocco yafungua rasmi ubalozi wake nchini Rwanda

    Morocco yafungua rasmi ubalozi wake nchini Rwanda

    Apr 15, 2017 03:25

    Uhusiano wa pande mbili wa Morocco na Rwanda unatazamiwa kuimarika baada ya serikali ya Rabat kufungua rasmi ubalozi wake mjini Kigali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS