Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rwanda

  • SAUTI, Serikali ya Rwanda yaendelea kuinyoshea Ufaransa kidole cha lawama kwa kuhusika katika mauaji ya kimbari mwaka 1994, manusura wasimulia

    SAUTI, Serikali ya Rwanda yaendelea kuinyoshea Ufaransa kidole cha lawama kwa kuhusika katika mauaji ya kimbari mwaka 1994, manusura wasimulia

    Apr 13, 2017 12:47

    Manusura wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 huko wilaya ya Karongi magharibi mwa nchi hiyo, wameyalaani majeshi ya Ufaransa kwa kuhusika kwao kwa kiwango cha juu kwenye mauaji hayo.

  • SAUTI, Wapinzani wailaumu serikali ya Rwanda kwa kusema msamaha wa Papa Francis kuhusu mauaji ya halaiki ya Rwanda, unatosha.

    SAUTI, Wapinzani wailaumu serikali ya Rwanda kwa kusema msamaha wa Papa Francis kuhusu mauaji ya halaiki ya Rwanda, unatosha.

    Apr 05, 2017 12:54

    Serikali ya Rwanda imetupilia mbali baadhi ya madai ya wakereketwa ambao awali walisema kuwa, Papa Francis hajaomba msamahama ipasavyo kuhusu ya namna Kanisa Katoliki duniani lilivyohusika katika mauaji ya kimbari nchini Rwanda.

  • Maafisa polisi zaidi ya 140 wa Rwanda wawasili nchini Sudan Kusini

    Maafisa polisi zaidi ya 140 wa Rwanda wawasili nchini Sudan Kusini

    Apr 05, 2017 03:13

    Rwanda imetuma makumi ya maafisa wa polisi wa kikosi kipya cha maafisa wake wa kulinda amani nchini Sudan Kusini.

  • Maafisa wa kulinda amani wa Rwanda kuanza kuwasili Sudan Kusini kesho

    Maafisa wa kulinda amani wa Rwanda kuanza kuwasili Sudan Kusini kesho

    Mar 24, 2017 02:56

    Jeshi la Polisi la Rwanda limetuma suhula na zana za kivita mjini Juba, zitakazotumiwa na kikosi kipya cha maafisa wake wa kulinda amani nchini Sudan Kusini.

  • Papa akiri kosa la Kanisa Katoliki katika mauaji ya kimbari Rwanda, aomba msamaha

    Papa akiri kosa la Kanisa Katoliki katika mauaji ya kimbari Rwanda, aomba msamaha

    Mar 20, 2017 11:29

    Kiongozi wa Wakatoliki Duniani amekiri kuwa kuwa Kanisa Katoliki lilifanya makosa wakati wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda ana ameomba msamaha kutokana na jambo hilo.

  • Waasi wa kundi la FDLR kutoka Rwanda wajisalimisha kwa UN, Congo

    Waasi wa kundi la FDLR kutoka Rwanda wajisalimisha kwa UN, Congo

    Mar 19, 2017 23:32

    Idadi kadhaa ya waasi wa kundi la FDLR wa Rwanda walioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamejisalimisha kwa askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa waliko mashariki mwa nchi hiyo.

  • Viongozi wa kidini nchini Rwanda waunga mkono upangaji uzazi

    Viongozi wa kidini nchini Rwanda waunga mkono upangaji uzazi

    Feb 12, 2017 04:25

    Viongozi wa kidini nchini Rwanda wamekutana katika mji mkuu Kigali kujadili njia za kuboresha afya ya uzazi.

  • Rwanda yawafuta kazi makumi ya polisi kwa kula rushwa

    Rwanda yawafuta kazi makumi ya polisi kwa kula rushwa

    Feb 08, 2017 00:05

    Serikali ya Rwanda imewafukuza kazi maafisa polisi 200 waliohusishwa na ufisadi nchini humo. Uchunguzi wa hivi karibuni uliofanywa na Taasisi ya Transparency International umeonyesha kuwa Rwanda ni nchi ya tatu yenye ufisadi wa kiwango cha chini katika nchi za chini ya Jangwa la Sahara barani Afrika.

  • Congo DR yataka kufukuzwa waasi wa Rwanda, Sudan Kusini katika ardhi ya nchi hiyo

    Congo DR yataka kufukuzwa waasi wa Rwanda, Sudan Kusini katika ardhi ya nchi hiyo

    Jan 12, 2017 23:28

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeutaka Umoja wa Mataifa kutayarisha mazingira ya kuwaondoa waasi wa Rwanda na Sudan Kusini katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Rwanda yataka kupatiwa ufumbuzi mgogoro na jirani yake, Burundi

    Rwanda yataka kupatiwa ufumbuzi mgogoro na jirani yake, Burundi

    Dec 17, 2016 13:16

    Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema kuwa, nchi yake inataka kupatiwa ufumbuzi mgogoro na jirani yake Burundi kupitia njia ya mazungumzo

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS