-
Rwanda yapeleka misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza
Oct 22, 2023 06:26Rwanda imetuma misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza, kuonyesha mshikamano na wananchi wa Palestina waliohasiriwa na kujeruhiwa katika mashambulio ya kinyama ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo hilo.
-
Marekani yatangaza kusitisha ushirikiano wake wa kijeshi na Rwanda; DRC yapongeza
Sep 22, 2023 07:58Marekani imetangaza kusitisha ushirikiano wake wa kijeshi na Rwanda kwa tuhuma kwamba Kigali inawatumia watoto kama wanajeshi na kuunga mkono waasi wa M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.
-
Mnyarwanda akiri kuua watu 14 baada ya maiti 12 kukutwa zimezikwa jikoni kwake
Sep 22, 2023 07:08Raia wa Rwanda Denis Kazungu amekiri kosa la kuua watu 14 wengi wao wakiwa wanawake na kuficha miili yao ndani ya nyumba yake mjini Kigali.
-
Rais Kagame dunia ichukue hatua za kusitisha mizozo
Sep 21, 2023 03:02Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema, pamoja na changamoto zinazoendelea duniani ikiwa ni pamoja na athari mbaya za janga la COVID19 na mabadiliko ya tabianchi, kuna haja ya kuwa na dunia yenye amani na matumaini, na kwa msingi huo amesisitiza kuwa, “tusipoze tu joto linaloathiri tabianchi bali pia tupoze mizozo.”
-
Wahanga wa mauaji ya kimbari Rwanda wakosoa mwito wa mahakama ya UN
Aug 09, 2023 11:34Waathirika, wahanga na manusura wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 wamekosoa vikali mwito uliotolewa na majaji wa rufaa ya mahakama ya Umoja wa Mataifa wa kutaka kesi ya uhalifu wa kivita inayomkabili mshukiwa wa mauaji hayo ya kimbari, Felicien Kabuga isitishwe kwa muda usiojulikana.
-
Majaji wa mahakama ya UN wataka mshukiwa wa mauaji ya kimbari Rwanda aachiwe huru
Aug 08, 2023 12:36Majaji wa Umoja wa Mataifa wameamuru kesi ya uhalifu wa kivita inayomkabili mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, Felicien Kabuga mwenye umri wa miaka 90 isitishwe kwa muda usiojulikana kwa sababu ana matatizo ya akili.
-
Mshukiwa mkuu wa mauaji ya kimbari Rwanda akamatwa Afrika Kusini
May 26, 2023 01:25Fulgence Kayishema, mmoja kati ya watuhumiwa wakuu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 ambaye amekuwa akisakwa kwa udi na uvumba kwa miongo kadhaa sasa hatimaye ametiwa mbaroni nchini Afrika Kusini.
-
Rwanda yatoa kipaumbele katika kuzihamisha kaya zilizokumbwa na maafa baada ya mafuriko
May 15, 2023 11:04Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa inatoa kipaumbele kwa suala la kuhamisha kaya za maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko ya wikii iliyopita katika mikoa kdhaa ya Kaskazini na Magharibi mwa nchi hiyo.
-
Rwanda kutumia dola milioni 100 kukarabati miundomsingi iliyoharibiwa na mafuriko
May 08, 2023 02:59Serikali ya Rwanda imesema, imetenga karibu dola milioni 100 kukarabati miundombinu iliyoharibika kufuatia mafuriko makubwa na maporomoko ya ardhi wiki hii ambayo yalisababisha vifo vya watu 131 na kubomoa maelfu ya nyumba.
-
Mpango wa WFP wa kulisha watoto mashuleni Rwanda na matokeo yake chanya
Apr 30, 2023 02:09Mkakati wa Mpango wa Chakula Duniani (WFP) wa kulisha watoto shuleni umesababisha mabadiliko makubwa katika maisha ya watoto wa shule nchini Rwanda.