Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sala ya Ijumaa

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Mapinduzi ya Kiislamu, sawa na Ashura na Ghadir ni akiba isiyomalizika

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Mapinduzi ya Kiislamu, sawa na Ashura na Ghadir ni akiba isiyomalizika

    Feb 04, 2022 08:26

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema: "Mapinduzi ya Kiislamu sawa na matukio ya Ashura na Ghadir ni akiba isiyomalizika na inapaswa kutumiwa ipasavyo."

  • Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran atoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran atoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 31, 2021 09:24

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, kama utawala haramu wa Kizayuni wa Israel utathubutu kufanya kosa dogokabisa, vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vitatoa jibu kali dhidi yake ambalo litakuwa ni la kuumiza.

  • Ayatullah Khatami: Taifa la Iran halitokubali chochote ghairi ya kuondolewa vikwazo vyote

    Ayatullah Khatami: Taifa la Iran halitokubali chochote ghairi ya kuondolewa vikwazo vyote

    Dec 03, 2021 08:22

    Khatibu wa Muda wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesisitiza kuwa, taifa la Iran halitokubaliana na chochote katika mazungumzo yanayoendelea mjini Vienna Austria ghairi ya kuondolewa vikwazo vyote vya kidhulma lilivyowekewa taifa hili la Kiislamu na madola ya kibeberu.

  • Hatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran: Nchi za Ulaya zisitoe mhanga maslahi yao ya kitaifa kwa manufaa ya utawala wa Kizayuni

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran: Nchi za Ulaya zisitoe mhanga maslahi yao ya kitaifa kwa manufaa ya utawala wa Kizayuni

    Nov 26, 2021 07:49

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amezinasihi nchi za Ulaya kutotoa mhanga maslahi yao ya kitaifa kwa manufaa na malengo haramu ya watawala wa Marekani na utawala haramu wa Israel.

  • Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mabeberu hawana lengo isipokuwa kuvuruga amani

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mabeberu hawana lengo isipokuwa kuvuruga amani

    Oct 29, 2021 08:10

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, harakati zinazofanywa na mabeberu kwa sasa zinalenga kuvuruga amani na usalama.

  • Kufanyika swala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti wa Hagia Sophia

    Kufanyika swala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti wa Hagia Sophia

    Jul 26, 2020 02:02

    Sala ya kwanza ya Ijumaa ilisaliwa Ijumaa katika msitiki wa Hagia Sophia nchini Uturuki tarehe 24 mwezi huu wa Saba baada ya miaka 86 kwa kuhudhuriwa na rais, viongozi wa serikali na pia wananchi wa nchi hiyo.

  • Sala ya Ijumaa yasaliwa katika miji 157 ya Iran baada ya kusimamishwa kwa zaidi ya miezi 2

    Sala ya Ijumaa yasaliwa katika miji 157 ya Iran baada ya kusimamishwa kwa zaidi ya miezi 2

    May 08, 2020 03:49

    Sala ya Ijumaa inatazamiwa kusaliwa hii leo katika miji 157 na mikoa 21 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, baada ya kusimamishwa tokea mapema mwezi Machi mwaka huu kutokana na mripuko wa virusi vya corona.

  • Sala ya Ijumaa yaghairishwa katika mikoa 23 ya Iran kwa sababu ya mripuko wa kirusi cha corona

    Sala ya Ijumaa yaghairishwa katika mikoa 23 ya Iran kwa sababu ya mripuko wa kirusi cha corona

    Feb 28, 2020 04:02

    Sala ya Ijumaa ya leo katika baadhi ya mikoa ya Iran imeghairishwa kutokana na mripuko wa kirusi cha corona.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Muamala wa Karne ni fedheha kwa Trump

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Muamala wa Karne ni fedheha kwa Trump

    Feb 14, 2020 08:36

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa Tehran amesema mpango wa 'Muamala wa Karne' ni fedheha kubwa na kashfa kwa Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Ayatullah Kashani: Mapinduzi ya Kiislamu yamezuia ubeberu wa Marekani na utawala wa Kizayuni

    Ayatullah Kashani: Mapinduzi ya Kiislamu yamezuia ubeberu wa Marekani na utawala wa Kizayuni

    Feb 07, 2020 10:55

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, lau kama si Mapinduzi ya Kiislamu hii leo Marekani na utawala haramu wa Israel zingekuwa zinaidhibiti Iran na ulimwengu wa Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS