Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Uhusiano wa kiuchumi wa Iran na Saudi Arabia waanza rasmi, meli ya kwanza ya Iran yatia nanga Saudia

    Uhusiano wa kiuchumi wa Iran na Saudi Arabia waanza rasmi, meli ya kwanza ya Iran yatia nanga Saudia

    Oct 28, 2021 03:55

    Mkuu wa Shirikisho la Usafirishaji Nje Bidhaa za Iran amesema kuwa, uhusiano wa kiuchumi wa nchi yake na Saudi Arabia umeanza rasmi baada ya meli moja yenye bidhaa za Iran kutia nanga katika moja ya bandari za Saudia.

  • Saudi Arabia yaweka masharti mapya kwa Waislamu wanaotaka kwenda kufanya Umra

    Saudi Arabia yaweka masharti mapya kwa Waislamu wanaotaka kwenda kufanya Umra

    Oct 10, 2021 23:00

    Wizara ya Hija na Waqfu ya Saudi Arabia imetangaza kuwa, itatoa kibali cha kwenda kutekeleza faradhi ya Hija au Umra katika haram mbili tukufu za Makka na Madina kwa wale tu waliopigwa chanjo mbili za kinga ya ugonjwa wa Covid-19 zitakazothibitishwa na nchi hiyo.

  • UN: Mazungumzo baina ya Iran na Saudi Arabia ni

    UN: Mazungumzo baina ya Iran na Saudi Arabia ni "muhimu sana"

    Oct 08, 2021 03:59

    Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema, mazungumzo kati ya Iran na Saudi Arabia ni "muhimu sana".

  • Khatibzadeh: Iran imefanya mazungumzo yenye tija na Saudi Arabia

    Khatibzadeh: Iran imefanya mazungumzo yenye tija na Saudi Arabia

    Sep 23, 2021 22:46

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa katika miezi michache iliyopita kumefanyika mawasiliano ya mara kwa mara kati ya Iran na Saudi Arabia na kuongeza kuwa, mazungumzo mazuri yamefanyika juu ya maswala yanayozihusu pande mbili.

  • Kongresi kuzuia mauzo ya silaha kwa tawala za Saudi Arabia na Israel

    Kongresi kuzuia mauzo ya silaha kwa tawala za Saudi Arabia na Israel

    Sep 20, 2021 03:31

    Mbunge wa Kongresi ya Marekani amebuni muswada unaopiga marufuku uuzaji wa silaha za nchi hiyo kwa tawala za Saudi Arabia na Israel.

  • Maelfu ya Wakenya wataka kuelekea Saudia kutafuta kibarua licha ya manyanyaso wanayokumbana nayo

    Maelfu ya Wakenya wataka kuelekea Saudia kutafuta kibarua licha ya manyanyaso wanayokumbana nayo

    Sep 09, 2021 08:11

    Licha ya simulizi za kuatua moyo kuhusu madhila wanayopitia wakiwa huko Saudi Arabia, maelfu ya Wakenya wamekwama Nairobi wakilalamikia kuchelewa kupata tiketi ya ndege kwenda kufanyia kazi Uarabuni.

  • Jibu kali la Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen kwa mawaziri wenzake wa Marekani na Uingereza

    Jibu kali la Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen kwa mawaziri wenzake wa Marekani na Uingereza

    Sep 07, 2021 06:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amezitaka Marekani na Uingereza kutoa mchango chanya na kutoegemea upande wowote katika juhud za kurejesha amani huko Yemen.

  • Saudi Arabia ni nchi mbaya zaidi duniani kwa upande wa ukiukaji wa uhuru hasa wa kisiasa

    Saudi Arabia ni nchi mbaya zaidi duniani kwa upande wa ukiukaji wa uhuru hasa wa kisiasa

    Sep 07, 2021 06:38

    Taasisi moja ya Utafiti ya nchini Marekani imetangaza kuwa Saudi Arabia ni nchi ya saba kwa kukiuka uhuru na demokrasia duniani.

  • HAMAS yautaka utawala wa Saudi Arabia uwaachilie huru mahabusu wa Kipalestina

    HAMAS yautaka utawala wa Saudi Arabia uwaachilie huru mahabusu wa Kipalestina

    Aug 05, 2021 08:12

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameitaka Saudi Arabia iwaachilie huru mahabusu wote Wapalestina inaowashikilia na kufunga faili lao.

  • Amnesty International: Ukandamizaji umeongezeka sana nchini Saudi Arabia

    Amnesty International: Ukandamizaji umeongezeka sana nchini Saudi Arabia

    Aug 03, 2021 20:25

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, Saudi Arabia imezidisha ukandamiza dhidi ya raia baada ya kumalizika muda wa uenyekiti wake katika kundi la G20.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS