Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Jeshi la Yamen lavurumisha kombora katika kambi ya mamluki wa Saudia

    Jeshi la Yamen lavurumisha kombora katika kambi ya mamluki wa Saudia

    Jul 10, 2018 23:38

    Jeshi la Yemen, likishirikiana na wapiganaji wa Kamati za Wananchi, limevurumisha kombora lililotengenezwa nchini humo na kulenga kambi ya mamluki wa Saudi Arabia ambao ni watiifu kwa rais wa zamani wa nchi hiyo Abd Rabbuh Mansur Hadi katika mji wa al Hudaydah katika pwani ya magharibi mwa nchi hiyo.

  • Tsunami ya kamatakamata nchini Saudi Arabia

    Tsunami ya kamatakamata nchini Saudi Arabia

    Jul 06, 2018 22:12

    Vita vya madaraka katika ukoo wa Aal Sad nchini Saudi Arabia vinachukua mkondo mpya na mpana zaidi kila siku ambapo wanawafalme na maafisa wengi wa ngazi za juu nchini humo wamekuwa wakitiwa mbaroni kwa amri ya Muhamm bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo.

  • Qatar kuiburuza Saudia mahakamani kwa tuhuma za kuingiza siasa katika ibada ya Hijah

    Qatar kuiburuza Saudia mahakamani kwa tuhuma za kuingiza siasa katika ibada ya Hijah

    Jul 03, 2018 23:54

    Serikali ya Qatar na katika mfululizo wa kufuatilia masuala ya kisheria na kimataifa dhidi ya nchi za Saudi Arabia, Imarati, Bahrain na Misri, imetangaza kwamba imefungua mashitaka dhidi ya Riyadh kutokana na serikali ya nchi hiyo kuingiza siasa katika ibada ya Hijjah.

  • Kusimamishwa uuzaji silaha za Ubelgiji kwa Saudi Arabia

    Kusimamishwa uuzaji silaha za Ubelgiji kwa Saudi Arabia

    Jul 01, 2018 22:01

    Kufuatia hatua ya Saudi Arabia na washirika wake ya kuendelea kuishambulia kijeshi Yemen, Baraza la Kiserikali la Ubelgiji, limetoa amri ya kusimamishwa uuzaji silaha wa nchi hiyo kwa Riyadh.

  • Marekani, Israel, Saudia zinapanga njama za kuudhuri uchumi wa Iran

    Marekani, Israel, Saudia zinapanga njama za kuudhuri uchumi wa Iran

    Jul 01, 2018 09:18

    Marekani, Utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia zinapanga njama za kuzuia na kusitisha mkondo wa ustawi wa uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lakini hazitafanikiwa.

  • Malaysia yasimamisha ushirikiano wake wa kijeshi na Saudia katika vita dhidi ya Yemen

    Malaysia yasimamisha ushirikiano wake wa kijeshi na Saudia katika vita dhidi ya Yemen

    Jun 28, 2018 08:52

    Waziri wa Ulinzi wa Malaysia amesema kuwa, nchi yake imesimamisha ushirikiano wake wa kijeshi na Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen.

  • Human Rights Watch yafurahishwa na kuingizwa Saudia katika orodha nyeusi ya kuvunja haki za binadamu

    Human Rights Watch yafurahishwa na kuingizwa Saudia katika orodha nyeusi ya kuvunja haki za binadamu

    Jun 27, 2018 03:27

    Shirika la kimataifa la Human Rights Watch limepokea kwa furaha hatua ya kuingizwa jina la Saudi Arabia katika orodha nyeusi ya wavunjaji wa haki za watoto wadogo na kusema kuwa hiyo ni hatua muhimu.

  • "Saudia iliipa hongo timu ya taifa ya Misri ikubali kuifunga kombe la dunia" - Mwandishi

    Jun 27, 2018 03:25

    Mwandishi mmoja wa Misri amelalamika kuwa serikali ya nchi yake ilipokea rushwa na hongo kutoka kwa Saudi Arabia na kuilazimisha timu ya taifa ya nchi hiyo ikubali kufungwa na Saudia katika mashindano ya fainali za kombe la dunia yanayoendelea nchini Russia hivi sasa.

  • Njia ya reli ya kuiunganisha Israel na Saudi Arabia iko mbioni kujengwa

    Njia ya reli ya kuiunganisha Israel na Saudi Arabia iko mbioni kujengwa

    Jun 24, 2018 22:25

    Kanali ya Pili ya televisheni ya Israel imetangaza habari ya kukubaliana Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benajmain Netanyahu na Waziri wa Barabara na Uchukuzi wa utawala huo, Yisrael Katz, kuhusu kuanza ujenzi wa njia ya reli ya kuiunganisha Saudi Arabia na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Shakhsia tofauti wafanya maandamano London kupinga uungaji mkono wa UK kwa Saudia Yemen

    Shakhsia tofauti wafanya maandamano London kupinga uungaji mkono wa UK kwa Saudia Yemen

    Jun 23, 2018 20:43

    Kundi la wawakilishi wa bunge, wahadhiri wa vyuo vikuu na watu wenye vipawa tofauti nchini Uingereza, wamefanya maandamano mbele ya ofisi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo wakilaani uungaji mkono wa serikali ya London kwa uvamizi wa Saudia nchini Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS