-
Marekani, Israel, Saudia zachochea machafuko Jordan kwa kupinga kuhamishiwa ubalozi wa Marekani mjini Quds
Jun 05, 2018 22:04Gazeti moja la utawala wa Kizayuni wa Israel limefichua kuwa, Israel, Marekani, Saudi Arabia na baadhi ya nchi nyingine za Kiarabu zinahusika katika machafuko yanayoendelea nchini Jordan kutokana na nchi hiyo kushiriki katika kikao cha kupinga kuhamishiwa Quds ubalozi wa Marekani uliokuweko Tel Aviv.
-
Saudia yaendelea kuitumia Hija kisiasa kwa kuwazuia Waqatar wasiende kufanya Umra ya Ramadhani
Jun 05, 2018 22:02Serikali ya Saudi Arabia imeendelea kuitumia ibada ya Hija kisiasa kwa kuweka masharti kadhaa yanayowazuia Waislamu kutoka Qatar kwenda kutekeleza Umra katika mwezi huu wa Ramadhani.
-
Marekani yafichua: Saudia iliunga mkono mapatano ya Camp David kati ya Misri na Israel
Jun 03, 2018 10:26Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetoa nyaraka zinazofichua uungaji mkono wa utawala wa Saudi Arabia kwa mazungumzo ya mapatano kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Misri na Jordan katika enzi za utawala wa Anwar Sadat nchini Misri.
-
Saudia yashadidisha vita dhidi ya Yemen katika Mwezi wa Ramadhani
Jun 01, 2018 23:39Saudi Arabia imeshadidisha mashambulizi yake dhidi ya maeneo ya raia nchini Yemen katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Mtaalamu wa Israel afichua: Israel inaiuzia Saudia taarifa za utaalamu wa silaha za nyuklia
Jun 01, 2018 03:14Mtaalamu mwandamizi wa masuala ya nyuklia wa utawala wa Kizayuni wa Israel amefichua kwamba utawala huo unaiuzia Saudi Arabia taarifa ambazo zitaiwezesha nchi hiyo ya kifalme kuunda silaha za maangamizi za nyuklia.
-
Wanajeshi zaidi ya 1,000 wa Saudia wameuawa katika vita dhidi ya Yemen
May 29, 2018 09:19Zaidi ya wanajeshi 1,000 wa Saudi Arabia wameuawa katika uvamizi wa nchi hiyo dhidi ya Yemen ulioanza Machi 2015.
-
Mgogoro wa Qatar na nchi za Kiarabu wazidi kutokota, Doha yapiga marufuku bidhaa za Saudia, Imarati, Bahrain na Misri
May 27, 2018 00:13Katika hali inayoonekana ni kuzidi kuwa mkubwa mgogoro wa Qatar na nchi nne za Kiarabu zilizoizingira kila upande nchini hiyo, wizara ya uchumi na biashara ya Qatar jana ilipiga marufuku kuhifadhi, kunua na kuuza bidhaa yoyote iliyotengenezwa Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, Bahrain na Misri.
-
Ethiopia yamwita nyumbani balozi wake mdogo kutoka Saudia
May 24, 2018 02:55Vyombo vya habari vya nchi za Kiarabu vimetangaza kuwa, baada ya Ethiopia kumwita nyumbani balozi wake kutoka Riyadh, mji mkuu wa Saudi Arabia, imemwita nyumbani pia balozi wake mdogo aliyekuweko mjini Jeddah.
-
Mwakilishi wa Iran UN: Marekani imewapatia kinga Wazayuni na Wasaudi ya kushambulia raia
May 22, 2018 23:55Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Kizayuni na ule wa Aal Saud zinaungwa mkono na Marekani kwa kuwa ni mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama katika mashambulio yao dhidi ya raia na kubainisha kuwa Washington imezipatia kinga tawala mbili hizo.
-
Raia karibu 700 wa Ethiopia waliokuwa wamefungwa Saudia warejeshwa kwao
May 21, 2018 03:22Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia imesema kuwa, karibu raia 700 wa nchi hiyo waliokuwa wamefungwa nchini Saudi Arabia, wamerejea nyumbani.