Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Saudia na Imarati zawafanya mamluki maelfu ya vijana wa Afrika

    Saudia na Imarati zawafanya mamluki maelfu ya vijana wa Afrika

    Apr 17, 2018 09:33

    Gazeti la al-Quds al-Arabi limeripoti kuwa, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu zinataka kuwasajili maelfu ya vijana wa Kiafrika zitakaowatumia katika operesheni zao za nje ya nchi vikiwemo vita dhidi ya Yemen.

  • Morocco yaondoa ndege zake za kivita katika muungano wa Saudia dhidi ya Yemen

    Morocco yaondoa ndege zake za kivita katika muungano wa Saudia dhidi ya Yemen

    Apr 15, 2018 23:41

    Morocco inapanga kuondoa ndege zake za kivita zilizoko katika muungano wa Saudi Arabia ambao umekuwa ukiihujumu Yemen kwa zaidi ya miaka mitatu sasa.

  • Kikao cha utangulizi cha wakuu wa nchi za Kiarabu, uchochezi dhidi ya Iran

    Kikao cha utangulizi cha wakuu wa nchi za Kiarabu, uchochezi dhidi ya Iran

    Apr 13, 2018 21:53

    Huku akikanusha tuhuma zilizotolewa hivi karibuni dhidi ya Iran kupitia taarifa ya kikao cha nane cha kamati ya pande nne ya Kiarabu huko Saudia, Bahram Qassemi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa tuhuma hizo hazina msingi na kwamba ni za dharau.

  • Nchi zinazoizingira Qatar zakariri madai yao kwa Doha kama sharti la kufungua upya mahusiano

    Nchi zinazoizingira Qatar zakariri madai yao kwa Doha kama sharti la kufungua upya mahusiano

    Apr 13, 2018 02:53

    Kwa mara nyingine nchi nne za Kiarabu zainazoizingira Qatar ambazo ni Saudi Arabia, Bahrain, Imarati na Misri, zimekariri masharti yao 13 kwa serikali ya Doha kama njia ya kufungua upya uhusiano wao na nchi hiyo.

  • Qassemi: Wasaudia sawa na Wazayuni wamekuwa nembo za wavamizi na watenda jinai Mashariki ya Kati

    Qassemi: Wasaudia sawa na Wazayuni wamekuwa nembo za wavamizi na watenda jinai Mashariki ya Kati

    Apr 11, 2018 22:03

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, watawala wa hivi sasa wa Saudi Arabia wamekuwa ni nembo ya uvamizi na kutenda jinai Mashariki ya Kati sawa kabisa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Alimu mkubwa Tunisia: Fatwa za mamufti wa Kiwahabi, zinalenga kuusambaratisha Uislamu

    Alimu mkubwa Tunisia: Fatwa za mamufti wa Kiwahabi, zinalenga kuusambaratisha Uislamu

    Apr 11, 2018 00:08

    Alimu mmoja wa ngazi ya juu wa Kiislamu nchini Tunisia, amesema kuwa fatwa za upotoshaji za mamufti wa Saudia, zinaelekea kuuangamiza umma wa Kiislamu.

  • Saudia inapanga kuigeuza Qatar kisiwa na jalala la takataka za nyuklia

    Saudia inapanga kuigeuza Qatar kisiwa na jalala la takataka za nyuklia

    Apr 10, 2018 12:25

    Saudi Arabia inapanga kuanzisha mradi wa ujenzi wa mfereji kwenye mpaka wake wa pamoja wa ardhini na Qatar ambao utaigeuza nchi hiyo ndogo ya Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi kuwa kisiwa.

  • Wimbi la upinzani wa kuuziwa silaha Saudi Arabia huko Ufaransa

    Wimbi la upinzani wa kuuziwa silaha Saudi Arabia huko Ufaransa

    Apr 10, 2018 07:55

    Malalamiko ya kutaka kusitishwa kuuziwa silaha Saudi Arabia yameshadidi nchini Ufaransa sambamba na safari ya Muhammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia katika nchi hiyo ya bara Ulaya.

  • Wasomi wa Kiislam Nepal: Aal-Saud waache kutumia vibaya na kisiasa maeneo ya Waislamu

    Wasomi wa Kiislam Nepal: Aal-Saud waache kutumia vibaya na kisiasa maeneo ya Waislamu

    Apr 09, 2018 09:34

    Wasomi wakubwa wa Kiislamu nchini Nepal wameulaani utawala wa kifalme wa Aal-Saud nchini Saudia kwa hatua yake ya kutumia kisiasa na kwa malengo yao binafsi ibada ya Hijjah na maeneo matukufu ya Waislamu.

  • Askari wa Saudia wanaoshiriki vita Yemen wachoshwa na mienendo hasi ya Bin Salman

    Askari wa Saudia wanaoshiriki vita Yemen wachoshwa na mienendo hasi ya Bin Salman

    Apr 07, 2018 22:24

    Kufuatia kuzorota usalama wa maeneo ya mpakani ya Saudia kutokana na vita vya muungano vamizi wa nchi za Kiarabu unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen, askari wa Saudia wanaolinda mpaka wameonyesha kukerwa na mienendo mibaya ya Mohammad Bin Salman kwa kutuma video za malalamiko katika mitandao ya kijamii.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS