Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Marekani yaafiki kuiuzia Saudia silaha licha ya mauaji ya Wayemeni

    Marekani yaafiki kuiuzia Saudia silaha licha ya mauaji ya Wayemeni

    Apr 06, 2018 03:14

    Washington imekubali kuiuzia Riyadh mifumo 180 ya mizinga yenye thamani ya dola bilioni 1.31 ikiwa ni katika mwendelezo wa Marekani wa kuiuzia Saudia silaha za mabilioni ya dola.

  • Hujuma ya tatu ya Wayemen iliyolenga Shirika la Aramco, mwaka mgumu wa kivita kwa Saudia

    Hujuma ya tatu ya Wayemen iliyolenga Shirika la Aramco, mwaka mgumu wa kivita kwa Saudia

    Apr 05, 2018 21:53

    Vikosi vya Jeshi la Yemen na Kamati za Wananchi kwa mara nyingine vimevurumisha makombora ya balistiki ya Badr ambayo yamelenga kwa mafanikio vituo vya kuzalisha mafuta ya petroli vya Shirika la Aramco la Saudi Arabia katika mji wa Jizan ulio kusini magharibi mwa Saudia.

  • Jeshi la Yemen lashambulia tena kwa kombora Shirika la Mafuta la Saudia Aramco

    Jeshi la Yemen lashambulia tena kwa kombora Shirika la Mafuta la Saudia Aramco

    Apr 05, 2018 03:32

    Kwa mara nyingine, jeshi la Yemen kwa kushirikiana na Harakati ya Kiislamu ya Answarullah, limeshambulia kwa kombora ghala la kuhifadhia mafuta la Shirika kubwa la Mafuta nchini Saudia Aramco katika mji wa Jizan, kusini magharibi mwa nchi hiyo.

  • Zarif: Saudia inaendelea 'kukamwa' kwa kutoleshwa fidia na Trump

    Zarif: Saudia inaendelea 'kukamwa' kwa kutoleshwa fidia na Trump

    Apr 04, 2018 22:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Mtindo wa rais wa Marekani wa 'kuikama' Saudi Arabia unaendelezwa bila kusita.

  • Bin Salman aukingia kifua hadharani utawala haramu wa Israel

    Bin Salman aukingia kifua hadharani utawala haramu wa Israel

    Apr 03, 2018 09:29

    Katika hali ambayo jamii ya kimataifa inaendelea kulaani mauaji ya Wapalestina yaliyofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia amejitokeza hadharani na kuutambua utawala huo ghasibu, sambamba na kusisitiza kuwa Wazayuni wana haki juu ya ardhi yao.

  • Katibu Mkuu wa UN atahadahrisha kuhusu hali mbaya nchini Yemen

    Katibu Mkuu wa UN atahadahrisha kuhusu hali mbaya nchini Yemen

    Apr 03, 2018 09:25

    Huku Saudia Arabia ikiendeleza hujuma zake za kinyama dhidi ya Yemen, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Saudia yalaumiwa kwa utumwa wanaofanyiwa wanawake wa Mauritania

    Saudia yalaumiwa kwa utumwa wanaofanyiwa wanawake wa Mauritania

    Apr 02, 2018 21:55

    Mashirika ya haki za binadamu yamelaumu vikali vitendo viovu wanavyofanyiwa wanawake wa Mauritania nchini Saudi Arabia na kusema kuwa wasichana wadogo wanaofanya kazi nchini Saudia wanageuzwa watumwa.

  • Jeshi la Yemen lashambulia kituo cha Jeshi la Saudia eneo la Jizan

    Jeshi la Yemen lashambulia kituo cha Jeshi la Saudia eneo la Jizan

    Apr 02, 2018 03:07

    Jeshi la Yemen likishirikiana na wapiganaji wa Harakati ya Ansarullah wamevurumisha kombora la balisitiki ndani ya ardhi ya Saudi Arabia na kulenga kituo cha kijeshi katika eneo la Jizan.

  •  Israel imetegemea fatuwa za Mashekhe wa Saudia kuwaua Wapalestina

    Israel imetegemea fatuwa za Mashekhe wa Saudia kuwaua Wapalestina

    Mar 31, 2018 11:37

    Jeshi la Utawala wa Kizayuni wa Israel linasema linawaua Wapalestina wanaoandamana kwa kutegemea fatuwa ya mashekhe wa Kiwahhabi kutoka Saudi Arabia.

  • Iran na muono wake wa mbali kuhusu mgogoro wa Yemen; US, UK, Ufaransa washiriki wa jinai zinazotendwa Yemen

    Iran na muono wake wa mbali kuhusu mgogoro wa Yemen; US, UK, Ufaransa washiriki wa jinai zinazotendwa Yemen

    Mar 31, 2018 01:42

    Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, lengo la wimbi jipya la tuhuma za Saudi Arabia dhidi ya Iran ya kwamba eti Tehran inatuma silaha nchini Yemen, ni kujaribu kuzipotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai zinazoongozwa na Saudia huko Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS