Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Usalama wa viwanja vya ndege vya Saudia mikononi mwa shirika la Kizayuni la Israel

    Usalama wa viwanja vya ndege vya Saudia mikononi mwa shirika la Kizayuni la Israel

    Mar 20, 2018 03:52

    Ulinzi na usalama wa viwanja vya ndege vya Saudi Arabia umetiwa mikononi mwa shirika la Kizayuni la G4S kwa amri ya mfalme Salman bin Abdul Aziz wa nchi hiyo.

  • Huffington Post: Marekani inashirikiana bega kwa bega na Saudia katika jinai nchini Yemen

    Huffington Post: Marekani inashirikiana bega kwa bega na Saudia katika jinai nchini Yemen

    Mar 20, 2018 01:07

    Mtandao maarufu wa habari nchini Marekani wa Huffington Post umeandika kuwa, kitendo cha Marekani kuidhaminia silaha na zana za kijeshi na kuunga mkono ukatili wa muungano wa nchi za Kiarabu katika uvamizi wa kijeshi nchini Yemen, kimeweka wazi ushiriki wa Marekani katika jinai za kivita za Saudia dhidi ya taifa hilo la Kiarabu.

  • Wasi wasi wa Saudia waipelekea ikabidhi viwanja vyake vya ndege kwa Israel

    Wasi wasi wa Saudia waipelekea ikabidhi viwanja vyake vya ndege kwa Israel

    Mar 19, 2018 04:23

    Kufuatia wasi wasi wa uwezekano wa kutoroka nchi wanawafalme wa ukoo wa Aal-Saud, utawala wa Aal- Saud umeamua kuukabidhi utawala haramu wa Israel usimamizi wa viwanja vyake vya ndege.

  • Qassemi: Bin Salman ni mwanagenzi anayeona ndoto za mchana

    Qassemi: Bin Salman ni mwanagenzi anayeona ndoto za mchana

    Mar 16, 2018 01:27

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi yaliyojaa dharau ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia na kusema matamshi hayo ya Muhammad bin Salman hayana thamani ya kujibiwa kwa sababu ni mwanagenzi anayeona njozi na asiyejua lolote isipokuwa kusema uongo.

  • Radiamali kwa makubaliano ya kuiuzia Saudia ndege za kivita za Uingereza aina ya Typhoon

    Radiamali kwa makubaliano ya kuiuzia Saudia ndege za kivita za Uingereza aina ya Typhoon

    Mar 11, 2018 04:18

    Hatua ya kusainiwa makubaliano ya kuiuzia Saudi Arabia ndege 48 za kivita aina ya typhoon katika safari ya Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo huko London imeakisiwa pakubwa na duru za kisiasa na vyombo vya habari vya ndani na nje ya Uingereza.

  • Safari ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia nchini Uingereza, Silaha Mkabala wa Kuunga Mkono Jinai

    Safari ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia nchini Uingereza, Silaha Mkabala wa Kuunga Mkono Jinai

    Mar 07, 2018 22:07

    Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia, Mohammad Bin Salman, Jumatano aliwasili nchini Uingereza baada ya safari hiyo kuakhirishwa mara kadhaa.

  • Bahram Qassemi ajibu tuhuma za Saudia na Misri dhidi ya Iran

    Bahram Qassemi ajibu tuhuma za Saudia na Misri dhidi ya Iran

    Mar 07, 2018 11:47

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Bahram Qassemi sambamba na kutupilia mbali tuhuma za kujikariri dhidi ya taifa hili zilizotolewa katika ripoti ya pamoja ya Saudia na Misri, amesema kuwa tuhuma hizo hazina msingi, ni za kubuni na ni makosa haribifu ya kukaririwa.

  • Waingereza wapinga bin Salman kufanya safari London; wasema ni mtenda jinai

    Waingereza wapinga bin Salman kufanya safari London; wasema ni mtenda jinai

    Mar 05, 2018 00:33

    Wananchi wa Uingereza wameendelea kupinga safari ya Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia mjini London wakisema kuwa, viongozi wa nchi hiyo wanapaswa kufuta safari ya bin Salman kutokana na kutenda kwake jinai huko Yemen.

  • UN: Hali ya kimaisha ya Wayemeni ni maafa matupu

    UN: Hali ya kimaisha ya Wayemeni ni maafa matupu

    Feb 28, 2018 13:03

    Afisa wa operesheni za misaada ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa, hali ya kimaisha ya watu wa Yemen ni maafa matupu kutokana na vita vya Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo, njaa na maradhi ya kipindupindu.

  • Ripoti: Tufani ya mabadiliko ya Bin Salman Saudia ni kuvutia radhi za Israel na Marekani

    Ripoti: Tufani ya mabadiliko ya Bin Salman Saudia ni kuvutia radhi za Israel na Marekani

    Feb 27, 2018 11:16

    Katika kuendelea kwa wimbi la mabadiliko na kuwapiga kalamu nyekundu viongozi wa ngazi za juu nchini Saudia, vyombo mbalimbali vya nchi za Kiarabu vimeripoti kwamba lengo la Mohammad Bin Salman Al Saud, mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo katika kutekeleza mabadiliko hayo ni kuvuitia ridhaa ya Marekani na Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS