Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Amnesty International yaikosoa Ufaransa kwa kuziuzia silaha Imarati na Saudi Arabia

    Amnesty International yaikosoa Ufaransa kwa kuziuzia silaha Imarati na Saudi Arabia

    Feb 22, 2018 04:47

    Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeikosoa vikali Paris kwa kuendelea kuiuzia Riyadh silaha na zana za kijeshi ambazo zinatumika vitani huko Yemen.

  • Mkuu wa baraza kuu la kisiasa Yemen awatahadharisha wavamizi wa Saudi Arabia

    Mkuu wa baraza kuu la kisiasa Yemen awatahadharisha wavamizi wa Saudi Arabia

    Feb 22, 2018 04:36

    Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesisitiza kuwa vikosi vya Yemen vitawashangaza pakubwa wavamizi wa Saudia huko Yemen.

  • Kuuawa askari wengine 12 wa Imarati  nchini Yemen, matokeo ya kupenda kujitanua Saudia na Abu Dhabi

    Kuuawa askari wengine 12 wa Imarati nchini Yemen, matokeo ya kupenda kujitanua Saudia na Abu Dhabi

    Feb 21, 2018 09:05

    Wizara ya Ulinzi ya Yemen inayofungamana na Harakati ya Wananchi ya Answarullah, imetangaza habari ya kuangamizwa askari wengine 12 wa Imarati katika mji wa Taiz ulioko kusini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Kuendelea mashambulizi ya Saudi Arabia Yemen; raia watano wauawa mkoani Ta'iz

    Kuendelea mashambulizi ya Saudi Arabia Yemen; raia watano wauawa mkoani Ta'iz

    Feb 20, 2018 23:41

    Raia watano jana usiku waliuawa katika mashambulizi ya ndege za kivita za utawala wa Saudia katika mkoa wa Taiz Yemen.

  • Ndege za kivita za Saudia zaua watu 18, wakiwemo watoto na wanawake, nchini Yemen

    Ndege za kivita za Saudia zaua watu 18, wakiwemo watoto na wanawake, nchini Yemen

    Feb 18, 2018 04:16

    Ndege za kivita za Saudi Arabia zimedondosha mabomu nchini Yemen na kuua watu 18, wakiwemo wanawake na watoto katika mkoa wa Sa'ada kaskazini mwa nchi hiyo masikini ya Kiarabu.

  • Qassemi: Al Jubeir anabwabwaja, anataka kuzungumza kwa niaba ya Wairaqi

    Qassemi: Al Jubeir anabwabwaja, anataka kuzungumza kwa niaba ya Wairaqi

    Feb 15, 2018 12:49

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu madai yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia katika kikao cha kuijenga upya Iraq dhidi ya Iran na kusema: Adel al-Jubeir amesahau kwamba hawezi kuzungumza kwa niaba ya serikali ya Iraq na wananchi wa nchi hiyo.

  • Makumi ya wanamgambo wa serikali za Sudan na Saudia wauawa nchini Yemen

    Makumi ya wanamgambo wa serikali za Sudan na Saudia wauawa nchini Yemen

    Feb 15, 2018 00:34

    Duru mbalimbali za Yemen zimetangaza habari ya kuuawa makumi ya wanamgambo wa serikali za Sudan na Saudi Arabia katika vita na jeshi la Yemen na vikosi vya kujitolea vya wananchi ndani ya ardhi ya Yemen.

  • Uhusiano wa Saudia na Lebanon na kuzidi kupanda joto la mvutano baina ya pande mbili

    Uhusiano wa Saudia na Lebanon na kuzidi kupanda joto la mvutano baina ya pande mbili

    Feb 10, 2018 02:36

    Kuna kila ishara inayoonyesha kuwa uhusiano wa Saudi Arabia na Lebanon unaelekea kwenye mkondo unaoshadidisha mvutano baina ya pande mbili.

  • Mwanaharakati wa kike aliyekosoa mahusiano ya Saudia na Israel aendelea kushikiliwa Riyadh

    Mwanaharakati wa kike aliyekosoa mahusiano ya Saudia na Israel aendelea kushikiliwa Riyadh

    Feb 08, 2018 10:54

    Mwanaharakati wa kike ambaye alikosoa kitendo cha kuanzishwa mahusiano kati ya nchi za Kiarabu zikiongozwa na Saudia, na utawala haramu wa Israel, anaendelea kushikiliwa katika korokoro za kutisha za utawala wa Aal Saud.

  • Utawala wa Aal Saud watwaa kwa siri kisiwa cha Tiran cha Misri

    Utawala wa Aal Saud watwaa kwa siri kisiwa cha Tiran cha Misri

    Feb 06, 2018 23:05

    Licha ya kuwepo malalamiko ya Wamisri wanaopinga utawala wa Aal-Saud kuuziwa visiwa viwili vya Tiran na Sanafir mali ya nchi hiyo, duru za habari zimearifu kwamba Saudia imetwaa kisiwa cha Tiran kilichopo Bahari Nyekundu kwa siri.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS