-
Maandamano London ya kupinga kuuziwa silaha Riyadh
Feb 05, 2018 04:23Makumi ya watu juzi waliandamana na kukusanyika mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini London Uingereza wakipinga na kulalamikia hatua ya Uingereza ya kuiuzia silaha Saudia.
-
Safari na Bin Salman Uingereza yaahirishwa kwa tuhuma za kufanya jinai dhidi ya binadamu
Feb 03, 2018 12:05Safari iliyopangwa kufanywa na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia nchini Uingereza imeahirishwa kwa muda usiojulikana baada wabunge, jumuiya za kiraia na makundi ya kutetea haki za binadamu kupinga safari hiyo.
-
Mshindi wa zawadi ya amani ya Nobel ashangaa kutoshtakiwa Bin Salman na Al Nahyan
Feb 03, 2018 04:50Bi Tawakkol Karman, mshindi wa zawadi ya amani ya Nobel wa nchini Yemen amesisitizia umuhimu wa kushtakiwa kimataifa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme nchini Saudia na Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Abu Dhabi kutokana na jinai zao za mauaji ya umati nchini Yemen.
-
Malenga wanne Saudia wafungwa miaka 30 jela kwa kumkosoa Bin Salman
Feb 03, 2018 04:41Mahakama ya Saudia imewahukumu kifungo cha miaka 30 jela wakosoaji wa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Iran ndio njia pekee ya kupitishia dawa na chakula kwa ajili ya Qatar
Feb 02, 2018 04:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Mohammed bin Abdulrahman Al Thani amesema, baada ya nchi yake kuwekewa mzingiro na Saudi Arabia na waitifaki wake, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ndio njia pekee ya kudhaminia dawa na chakula kwa wananchi wa Qatar.
-
Askari kadhaa wa Saudia waangamizwa mkoani Jizan kusini mwa nchi hiyo
Feb 02, 2018 04:32Askari kadhaa wa Saudi Arabia wameangamizwa katika shambulio lililofanywa na mdunguzi mmoja wa Yemen dhidi ya ngome za askari hao huko kusini mwa Saudia.
-
Russia: Ushahidi uliotolewa na Marekani dhidi ya Iran ni butu
Feb 01, 2018 00:09Russia imesema kuwa ushahidi uliotolewa na Marekani ikidai kuwa Tehran imewapa makombora wapiganaji wa harakati ya al Huothi nchini Yemen ni butu na hauna mashiko.
-
Wanasheria wa Uingereza: Iondoeni Saudia kwenye Baraza la Haki za Binadamu la UN
Jan 31, 2018 23:09Mawakili wa Uingereza wametoa wito wa kuondolewa Saudi Arabia kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa wakieleza kwamba utawala huo wa kifalme unawaweka kizuizini wanaharakati wa kisiasa na wa uhuru wa kutoa maoni bila ya kuwafungulia mashtaka.
-
Mfalme wa Jordan: Kuna pande za Kiarabu zimeniwekea mashinikizo niachane na kadhia ya Quds
Jan 31, 2018 23:08Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan amefichua kuhusu mapendekezo na mashinikizo ya kiuchumi inayopata nchi yake kutoka kwa baadhi ya nchi za Kiarabu, kutokana na msimamo wake kuhusiana na kadhia ya Quds.
-
Mapigano makali yaibuka kati ya wanamgambo wa Saudia na Imarati, Aden nchini Yemen
Jan 29, 2018 01:15Katika mapigano makali yaliyojiri kati ya wanamgambo wanaoungwa mkono na Saudia na Imarati mjini Aden, kusini mwa Yemen kwa akali watu 10 wameuawa na wengine 100 kujeruhiwa.