Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Saudia yalegeza misimamo ya chuki; yapiga marufuku vyombo vyake vya habari kuishambulia Iran

    Saudia yalegeza misimamo ya chuki; yapiga marufuku vyombo vyake vya habari kuishambulia Iran

    Sep 04, 2017 23:00

    Gazeti la Raýul-Yaum limezinukuu duru za ngazi za juu za utawala wa Saudi Arabia na kuandika kuwa Baraza la Ufalme wa Aal Saud limetoa amri kwa magazeti na kanali za televisheni za nchi hiyo ziache kuishambulia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mashirika 62 ya haki za binadamu yaishitaki Saudia kwa jinai zake nchini Yemen

    Mashirika 62 ya haki za binadamu yaishitaki Saudia kwa jinai zake nchini Yemen

    Sep 01, 2017 22:01

    Muungano wa kimataifa wa mashirika ya haki za binadamu yasiyo ya kiserikali yameutaka Umoja wa Mataifa kuunda kamati huru ya kuchunguza jinai za kivita na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa kiimla wa Saudi Arabia nchini Yemen

  • Al-Shanqati: Njama za Saudia kuilenga Iran ndani ya eneo la Mashariki ya Kati zimefeli sana

    Al-Shanqati: Njama za Saudia kuilenga Iran ndani ya eneo la Mashariki ya Kati zimefeli sana

    Aug 31, 2017 04:25

    Mhadhiri wa masuala ya kisiasa nchini Bahrain, ameitaja Saudia kuwa iliyofeli sana katika njama zake tofauti eneo la Mashariki ya Kati kuilenga Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mgogoro wa Riyadh na Doha wasababisha idadi ya Mahujaji wa Qatar kupungua

    Mgogoro wa Riyadh na Doha wasababisha idadi ya Mahujaji wa Qatar kupungua

    Aug 29, 2017 03:05

    Athari za mgogoro kati ya Doha na Riyadh zimeathiri pakubwa idadi ya Mahujaji wa Qatar walioenda kutekeleza ibada tukufu ya Hijja mwaka huu nchini Saudi Arabia.

  • Wanamfalme wanaomuunga mkono bin Nayef wafungwa jela ya siri na Bin Salman, Saudia

    Wanamfalme wanaomuunga mkono bin Nayef wafungwa jela ya siri na Bin Salman, Saudia

    Aug 28, 2017 10:29

    Duru za habari nchini Saudia zimeripoti kwamba, Mohammad bin Salman bin Abdulaziz Aal Saud, mrithi wa kiti cha ufalme nchini humo anatumia jela za siri kuwafunga wanamfalme wengine wanaomuunga mkono Muhammad bin Nayef, mrithi wa kiti cha ufalme aliyefutwa kazi.

  • Wayemen waandamana kulaani ukatili wa Saudia dhidi yao

    Wayemen waandamana kulaani ukatili wa Saudia dhidi yao

    Aug 27, 2017 03:13

    Mamia ya maelfu ya wananchi wa Yemen kwa mara nyingine tena wamefanya maandamano katika mji mkuu Sana'a kulaani ukatili na mashambulizi ya kila uchao ya Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo maskini.

  • Ndege za kivita za Saudia zimeua raia 56 Yemen katika wiki moja

    Ndege za kivita za Saudia zimeua raia 56 Yemen katika wiki moja

    Aug 26, 2017 02:23

    Hujuma za ndege za kivita za Saudia zimeua raia zaidi ya 56 kote Yemen wakiwemo wanawake na watoto katika kipindi cha wiki moja iliyopita.

  • Waislamu milioni 1.4 wameshawasili Saudia kutekeleza Ibada ya Hija

    Waislamu milioni 1.4 wameshawasili Saudia kutekeleza Ibada ya Hija

    Aug 25, 2017 03:14

    Zaidi ya Waislamu milioni 1.4 wameshawasili Saudi Arabia hadi hivi sasa kwa ajili ya kutekeleza ibada ya kila mwaka ya Hija ambayo inaanza wiki ijayo.

  • Raia 35 wauawa katika mashambulio ya kijeshi ya Saudia nchini Yemen

    Raia 35 wauawa katika mashambulio ya kijeshi ya Saudia nchini Yemen

    Aug 23, 2017 09:32

    Kwa akali watu 35 wameuawa nchini Yemen na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia mashambulio ya anga ya ndege za kijeshi za utawala vamizi wa Saudi Arabia katika mji mkuu Sana'a.

  • Makumi ya watu wauawa Yemen katika shambulio la anga la Saudia dhidi ya maeneo ya raia

    Makumi ya watu wauawa Yemen katika shambulio la anga la Saudia dhidi ya maeneo ya raia

    Aug 23, 2017 03:35

    Watu wasiopungua 30 wameripotiwa kuuawa katika mashambulio yaliyofanywa na ndege za kivita za utawala vamizi wa Saudi Arabia katika eneo la makaazi ya raia katika mkoa wa Sana'a mji mkuu wa Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS