-
Mohammed bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme anayetumia fedha nyingi katika historia ya ukoo wa Aal Saud
Jun 26, 2017 11:53Gazeti la al Manar limeripoti kuwa, Mohammed bin Salman Aal Saud ni mmoja wa warithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ambaye ametumia mabilioni ya dola ili kuonyesha uwezo wake.
-
Udiplomasia wa Marekani na changamoto ya hitilafu baina ya Trump na Tillesron
Jun 26, 2017 11:34Gazeti la New York Times limefichua hitilafu zilizopo kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo Rex Tillerson kuhusu mvutano uliopo kati ya Saudi Arabia na Qatar.
-
Wanajeshi wa Saudia wamuua mkuu wa Baraza la Qur'ani huko Qatif
Jun 25, 2017 10:58Wanajeshi wa utawala wa Saudi Arabia wamempiga risasi na kumuua mwenyekiti wa baraza la Qur'ani katika mji Awamiya katika eneo la Qatif mashariki mwa nchi hiyo.
-
Saudia na Israel zafanya mazungumzo kuhusu makubaliano ya kibiashara
Jun 18, 2017 09:06Gazeti la The Times la Uingereza limefichua kuwa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel zinafanya mazungumzo juu ya kile kinachotajwa kuwa mabadilishano rasmi ya kihistoria ya kibiashara.
-
Mauzo ya silaha, faida ya Marekani kutokana na mgogoro wa Saudia na Qatar
Jun 16, 2017 08:31Hatua ya Saudi Arabia na kundi lake ya kuanzisha mgogoro na nchi ndogo ya Qatar, imeipa Marekani kisingizio cha kuiuzia Doha ndege 36 za kivita aina ya F 15 zenye thamani ya dola bilioni 12.
-
Wamisri waandamana kupinga kupewa Saudia visiwa viwili vya nchi yao
Jun 14, 2017 03:45Wananchi wa Misri wamefanya maandamano katika mji mkuu Cairo, kulalamikia uamuzi wa Bunge la hiyo nchi hiyo wa kuidhinisha kupewa Saudi Arabia visiwa viwili vya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika vya Tiran na Sanafir.
-
Jeshi la Yemen lalipiza kisasi na kuua wanajeshi wanne Wasaudi
Jun 13, 2017 23:48Wanajeshi wanne wa Saudi Arabia wameuawa katika oparesheni ya pamoja ya kulipiza kisasi ya Jeshi la Yemen na wapiganaji wa Ansarullah katika eneo la Asir ndani ya ardhi ya Saudi Arabia.
-
Wasiwasi wa Amir wa Kuwait kuhusiana na mpasuko katika ulimwengu wa Kiarabu
Jun 13, 2017 23:46Sambamba na kuendelea mgogoro katika ulimwengu wa Kiarabu, Amir wa Kuwait ameelezea wasiwasi mkubwa alionao kutokana na kuendelea mvutano katika uhusiano wa baadhi ya nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi na kutahadharisha kuhusiana na matokeo mabaya ya kuendelea hitilafu kati ya Saudi Arabia na Qatar.
-
Zarif: Wakuu wa Saudia wametangaza wazi wataleta vita ndani ya Iran
Jun 13, 2017 09:11Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, "wakuu wa Saudi Arabia wametangaza wazi kuwa watahamishia vita ndani ya Iran na hili ni tishio la moja kwa moja."
-
Saudia yawapiga marufuku raia wa Qatar kuingia Masjid al-Haram
Jun 11, 2017 22:44Mgogoro wa kidiplomasia ulioibuka kati ya Saudi Arabia ikishirikiana na nchi kadhaa za Kiarabu dhidi ya Qatar unaonekana kuchukua sura mpya baada ya watawala wa Aal Saud kuwazuia raia wa Qatar kuingia katika msikiti wa Makka.