-
Mwanazuoni wa Kishia apandishwa kizimbani Saudia baada ya kuwekwa mahabusu kwa zaidi ya mwaka mmoja
Apr 16, 2017 11:28Duru za kuaminika za Saudi Arabia zimetangaza kuwa mwanazuoni mmoja wa madhehebu ya Shia atapandishwa kizimbani baada ya kuwekwa mahabusu kwa muda wa miezi 13.
-
Wapakistan waandamana kulaani mashambulizi ya US na Saudia dhidi ya Syria na Yemen
Apr 12, 2017 09:34Maelfu ya Wapakistan wameandamana mbele ya kituo cha waandishi wa habari mjini Islamabad, mji mkuu wa nchi hiyo katika kulaani ushirikiano wa Marekani na Saudia wa kufanya mashambulizi nchini Syria na Yemen na kuyataja mashambulizi hayo kuwa ni jinai ya kivita.
-
Jeshi la Yemen na Answarullah laitia hasara kubwa Saudia mkoa wa Jizan
Apr 12, 2017 09:30Jeshi la Yemen kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Answarullah limejibu mashambulizi ya Saudia katika mkoa wa Saada kaskazini mwa nchi, kwa kulenga kambi ya jeshi la nchi hiyo vamizi katika mkoa wa Jizan, kusini mwa Saudia.
-
Iran yatoa jibu kwa uropokaji wa Waziri Mkuu wa Uingereza
Apr 05, 2017 22:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema uuzaji silaha kwa wavamizi kwa ajili ya kuulia watu wasio na hatia katika eneo hili na hasa katika uvamizi usio na mlingano na ulio dhidi ya ubinadamu uliofanywa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen hauwiyani na madai yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa Uingereza.
-
Marubani wa ndege za kivita za Saudia zinazoua Wayemeni waongezewa mishahara
Apr 04, 2017 23:39Sambamba na kushadidi mashambulio ya ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya maeneo mbalimbali ya Yemen, Baraza la Mawaziri la utawala wa Aal Saud limetangaza kuwa limeongeza mishahara ya marubani wa jeshi la anga la nchi hiyo.
-
Mahakama ya Misri yatengua uamuzi uliozuia kutolewa visiwa vya nchi hiyo kwa Saudia
Apr 03, 2017 00:08Mahakama moja ya Misri imetengua uamuzi uliotolewa miezi kadhaa iliyopita na mahakama nyingine ya nchi hiyo ikipinga kutolewa visiwa viwili vya nchi hiyo kwa utawala wa Saudi Arabia
-
Watetezi wa haki za binadamu: Saudia inazusha machafuko na hitilafu Mashariki ya Kati
Apr 02, 2017 11:34Jumuiya na watetezi wa haki za binadamu wamesema kuwa Saudi Arabia ndiyo sababu kuu ya machafuko na ghasia zinazoshuhudiwa kwa sasa katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Chama cha Sinn Féin chataka Uingereza isiiuzie Saudia silaha
Apr 01, 2017 23:50Chama cha Sinn Féin cha Ireland Kaskazini nchini Uingereza kimetoa taarifa kikitaka serikali ya nchi hiyo isitishe mara moja uuzaji silaha kwa utawala wa Saudi Arabia.
-
Kamanda wa jeshi la Saudia apigwa mayai Uingereza
Mar 31, 2017 02:55Ahmed al-Asiri, mshauri wa Wizara ya Ulinzi ya Saudia na msemaji wa muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen, ameshambuliwa na waandamanaji wanaopinga hujuma za utawala wa Aal-Saud nchini Yemen na kupigwa mayai mabovu.
-
Zaidi ya mamluki 100 wa Saudia waangamizwa ndani ya siku tatu nchini Yemen
Mar 31, 2017 02:33Wizara ya Ulinzi nchini Yemen imetangaza kuwa, zaidi ya mamluki 100 wa utawala wa Aal Saud wameuawa katika mashambulizi ya makombora na mizinga iliyovurumishwa na jeshi hilo katika kipindi cha siku tatu zilizopita.