-
'Madai ya Saudia dhidi ya Iran ni kichekesho'
May 13, 2016 23:11Ofisi ya Uwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imepinga tuhuma za mwakilishi wa Saudi Arabia katika umoja huo dhidi ya Iran na kuzitaja kuwa kichekesho.
-
Iran: Mazingira hayaruhusu kutuma mahujaji wetu Saudia
May 12, 2016 10:51Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema, viongozi wa Saudi Arabia wanaendelea kukwamisha juhudi za Waislamu wa Iran za kwenda kutekeleza amali ya Hija mwaka huu.
-
Mfalme wa Saudia alifadhili kampeni za waziri mkuu wa Israel, Netanyahu, mwaka 2015
May 10, 2016 00:19Mjumbe wa Bunge la Utawala haramu wa Israel (Knesset) amefichua kuwa Mfalme Salman bin Abdulazizi wa Saudi Arabia alifadhili kampeni za uchaguzi za waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mwaka 2015.
-
HRW: Saudia inatumia mabomu ya vishada ya Marekani nchini Yemen
May 06, 2016 23:49Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeikosoa Marekani kwa kuiuzia Saudi Arabia mabomu ya vishada yanayotumiwa na utawala huo wa kifalme dhidi ya raia wasio na hatia wa Yemen.
-
Wanajeshi wa Marekani wavamia kusini mwa Yemen
May 02, 2016 23:27Ripoti zinasema kuwa, wanajeshi wa kikosi maalumu cha Marekani wamevamia eneo la Kusini mwa Yemen kwa kisingizio cha kuwasaidia wanajeshi wa Imarati katika kile kinachodaiwa ni vita dhidi ya wanamgambo wa al Qaeda katika eneo hilo.
-
Mtawala wa Misri El Sisi aendelea kukiuka haki za binadamu
Apr 28, 2016 03:19Rais Abdel Fatah el Sisi nchini Misri ameendelea kukiuka haki za binaadamu huku akikosolewa kitaifa na kimataifa kutokana na kuendelea kuzorota hali ya mambo nchini humo.
-
Israel inawapa mafunzo askari wa Saudia
Apr 26, 2016 09:52Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amefichua kuwa utawala haramu wa Israel unatoa mafunzo ya kijeshi kwa askari wa Saudi Arabia katika mpango wa siri wa uhusiano wa tawala hizo mbili.
-
Saudia yakiuka makubaliano ya kusitisha vita Yemen
Apr 23, 2016 03:21Raia wanne wa Yemen wameuawa shahidi akiwemo mtoto mchanga katika mashambulizi yaliyofanywa na vibaraka wa Saudi Arabia dhidi ya makazi na nyumba zao katika eneo la al Zahir kwenye mkoa wa Baidha. Hatua hiyo inatambuliwa kuwa ni ukiukwaji wa makubaliano ya kusitisha vita unaoendelea nchini Yemen.
-
Uganda: Saudia inawashikilia wanawake 12 raia wetu
Apr 21, 2016 10:53Bunge la Uganda limearifiwa kuwa wanawake 12 raia wa nchi hiyo wanashikiliwa chini ya mazingira magumu nchini Saudi Arabia.
-
Tofauti juu ya Yemen zashadidi baina ya wavamizi wa Saudia na Imarat
Apr 19, 2016 03:34Duru za habari zimeripoti kuibuka tofauti kubwa baina ya nchi mbili vamizi za Saudia na Imarat kuhusiana na kadhia ya Yemen.