Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Wamisri kufanyika maandamano ya kupinga makubaliano ya Cairo na Riyadh

    Wamisri kufanyika maandamano ya kupinga makubaliano ya Cairo na Riyadh

    Apr 12, 2016 11:51

    Muungano wa kitaifa unaounga mkono serikali ya kidemokrasia na kupinga mapinduzi ya jeshi nchini Misri umetaka kufanyika maandamano kote nchini humo kulalamikia hatua ya Rais wa nchi hiyo ya kuipatia Saudi Arabia visiwa viwili vya nchi hiyo.

  • Al Sisi akabiliwa na upinzani mkubwa wa Wamisri kwa hatua yake ya kuipatia Saudia visiwa viwili

    Al Sisi akabiliwa na upinzani mkubwa wa Wamisri kwa hatua yake ya kuipatia Saudia visiwa viwili

    Apr 11, 2016 23:15

    Wananchi wa Misri kuanzia wale wa matabaka ya kawaida, wanaharakati hadi maafisa wa zamani na wanasiasa wameungana katika safu moja kuonyesha kukasirishwa kwao na uamuzi wa Rais Abdel Fattah al Sisi wa nchi hiyo wa kuipatia Saudi Arabia visiwa viwili vilivyoko katika Bahari Nyekundu.

  • Hali mbaya na ya kutisha katika jela za Saudia

    Hali mbaya na ya kutisha katika jela za Saudia

    Apr 11, 2016 03:23

    Maafisa wa utawala wa Kifalme wa Saudi Arabia wameendela kuzuia huduma ya tiba kwa wafungwa wa kisaisa wanaoshikiliwa katika jela za nchi hiyo.

  • Kuanza usitishwaji vita Yemen

    Kuanza usitishwaji vita Yemen

    Apr 11, 2016 00:17

    Usitishwaji vita unaosimamiwa na Umoja wa Mataifa Yemen ulianza jana usiku (Jumapili) kabla ya kuanza mazungumzo ya amani baina ya pande hasimu nchini Kuwait.

  • Ndege za kivita za Saudia zaua raia 5 nchini Yemen

    Ndege za kivita za Saudia zaua raia 5 nchini Yemen

    Apr 09, 2016 11:33

    Kwa akali raia watano Wayemen wameuawa kufuatia mashambulio mapya ya ndege za kivita za utawala wa Saudia katika mkoa wa Tai'zz wa kusini magharibi mwa Yemen.

  • Kukosolewa jinai zinazoendelea kufanywa na Saudia dhidi ya wananchi wa Yemen

    Kukosolewa jinai zinazoendelea kufanywa na Saudia dhidi ya wananchi wa Yemen

    Apr 03, 2016 02:37

    Mfalme Salman bin Abdul aziz wa Saudi Arabia amepuuza na kudharau maonyo yanayotolewa kimataifa yakiwemo ya asasi za kutetea haki za binadamu na kuamua kuendeleza jinai zake dhidi ya wananchi wa Yemen.

  • Matukio ya Yemen

    Matukio ya Yemen

    Apr 01, 2016 12:24

    Jinai za muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia zimeendelea nchini Yemen kufuatia ndege za kivita za Saudia kushambulia maeneo ya makazi ya raia kusini mwa nchi hiyo.

  • Vibara 80 wa Saudia wauawa nchini Yemen

    Vibara 80 wa Saudia wauawa nchini Yemen

    Mar 20, 2016 23:04

    Jeshi la Yemen limetangaza kuwa limetoa pigo kubwa na kuwashinda vibaraka wa Saudi Arabia katika eneo la Taiz na kuua 80 miongoni mwao licha ya kusaidiwa na ndege za kivita za utawala wa kifalme wa Aal Saud na washirika wao.

  • Dunia yaendelea kulaani jinai za Saudi Arabia nchini Yemen

    Dunia yaendelea kulaani jinai za Saudi Arabia nchini Yemen

    Mar 19, 2016 13:28

    Saudi Arabia na washirika wake wameendelea kufanya jinai na mauaji ya watu wasio na hatia nchini Yemen.

  • UN: Saudia inawalenga raia katika vita  nchini Yemen

    UN: Saudia inawalenga raia katika vita nchini Yemen

    Mar 18, 2016 23:39

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa amesema Saudia na waitifaki wake wanadondosha mabomu katika shule, mahospitali na vituo vya afya nchini Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS