-
Ndege za kivita za Saudia zaua raia 5 nchini Yemen
Apr 09, 2016 11:33Kwa akali raia watano Wayemen wameuawa kufuatia mashambulio mapya ya ndege za kivita za utawala wa Saudia katika mkoa wa Tai'zz wa kusini magharibi mwa Yemen.
-
Kukosolewa jinai zinazoendelea kufanywa na Saudia dhidi ya wananchi wa Yemen
Apr 03, 2016 02:37Mfalme Salman bin Abdul aziz wa Saudi Arabia amepuuza na kudharau maonyo yanayotolewa kimataifa yakiwemo ya asasi za kutetea haki za binadamu na kuamua kuendeleza jinai zake dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
Matukio ya Yemen
Apr 01, 2016 12:24Jinai za muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia zimeendelea nchini Yemen kufuatia ndege za kivita za Saudia kushambulia maeneo ya makazi ya raia kusini mwa nchi hiyo.
-
Vibara 80 wa Saudia wauawa nchini Yemen
Mar 20, 2016 23:04Jeshi la Yemen limetangaza kuwa limetoa pigo kubwa na kuwashinda vibaraka wa Saudi Arabia katika eneo la Taiz na kuua 80 miongoni mwao licha ya kusaidiwa na ndege za kivita za utawala wa kifalme wa Aal Saud na washirika wao.
-
Dunia yaendelea kulaani jinai za Saudi Arabia nchini Yemen
Mar 19, 2016 13:28Saudi Arabia na washirika wake wameendelea kufanya jinai na mauaji ya watu wasio na hatia nchini Yemen.
-
UN: Saudia inawalenga raia katika vita nchini Yemen
Mar 18, 2016 23:39Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa amesema Saudia na waitifaki wake wanadondosha mabomu katika shule, mahospitali na vituo vya afya nchini Yemen.
-
Saudia imewanyonga watu 75 tangu ulipoanza mwaka huu
Mar 18, 2016 04:36Wizara ya Mambo ya ndani ya Saudia imetangaza kuwa imewanyonga watu wengine wawili ambao ni raia mmoja wa nchi hiyo na mwengine wa Yemen na hivyo kuifanya idadi ya watu waliouliwa kwa njia hiyo ya kunyongwa nchini Saudia tangu mwanzoni mwa mwaka huu kufikia 75.
-
Saudia kuwapiga kalamu nyekundu Wayemeni 35 elfu
Mar 15, 2016 23:27Saudi Arabia imesema kuwa karibuni hivi itawafuta kazi raia wa Yemen wapatao 35 elfu wanaofanya kazi nchini humo.
-
Hizbollah yalaani 'hujuma' ya Jumuiya ya nchi za Kiarabu
Mar 13, 2016 04:05Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, imelaani hatua ya hivi karibuni ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuitaja harakati hiyo kuwa "kundi la kigaidi" na kusema uamuzi huo ni sawa na "tangazo la hujuma" kutoka Saudi Arabia.
-
Amnesty: Huenda Saudia ikamnyonga mpwa wa Sheikh Nimr kesho!
Mar 12, 2016 11:55Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeelezea hofu yake kuwa yumkini utawala wa Saudi Arabia hapo kesho ukamnyonga Ali Nimr, mpwa wa Shahidi Sheikh Nimr Baqir al-Nimr, mwanachuoni mkuu na maarufu wa Kiislamu aliyenyongwa na watawala wa Aal-Saud mapema mwaka huu.