Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sayyid Hassan Nasrullah

  • Hizbullah: Tumejitayarisha kukabiliana na hujuma tarajiwa ya utawala wa Kizayuni

    Hizbullah: Tumejitayarisha kukabiliana na hujuma tarajiwa ya utawala wa Kizayuni

    Feb 05, 2019 00:13

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon amesisitiza kuwa wanamapambano wa muqawama wamejiweka tayari kwa ajili ya kukabiliana na hujuma tarajiwa ya utawala haramu wa Israel.

  • Mazungumzo ya viongozi wa Muqawama na sisitizo la uhusiano wa kidugu na kijihadi

    Mazungumzo ya viongozi wa Muqawama na sisitizo la uhusiano wa kidugu na kijihadi

    Dec 22, 2018 03:03

    Ujumbe wa viongozi na makamanda wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina, juzi Alkhamisi tarehe 20 Disemba 2018 ulionana na Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon.

  • Nasrullah: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel kunafichua sura halisi za wanafiki

    Nasrullah: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel kunafichua sura halisi za wanafiki

    Nov 11, 2018 01:08

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kwamba, kuwa na uhusiano wa kawaida nchi za Kiarabu na utawala haramu wa Israel kutafichua sura halisi za wanafiki na wahadaaji.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Marekani na Israel zinatumia silaha ya elimu kuzidhalilisha nchi nyingine

    Sayyid Hassan Nasrullah: Marekani na Israel zinatumia silaha ya elimu kuzidhalilisha nchi nyingine

    Oct 20, 2018 12:15

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa, Marekani na utawala haramu wa Kizayuni zinatumia elimu na teknolojia kuyadhalilisha mataifa mengine duniani.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Hizbullah inatumia weledi kusambaratisha fitina za maadui wa muqawama

    Sayyid Hassan Nasrullah: Hizbullah inatumia weledi kusambaratisha fitina za maadui wa muqawama

    Oct 19, 2018 21:39

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo inatumia weledi wa hali ya juu kusambaratisha njama za maadui wenye lengo la kuzusha fitina dhidi ya muqawama.

  • Sayyid Nasrullah: Trump anatumia propaganda chafu dhidi ya Iran kuuza silaha kwa nchi za Kiarabu

    Sayyid Nasrullah: Trump anatumia propaganda chafu dhidi ya Iran kuuza silaha kwa nchi za Kiarabu

    Oct 12, 2018 23:19

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani anatumia sera ya kueneza propaganda chafu dhidi ya Iran kwa shabaha ya kutaka kuuza silaha za mabilioni ya dola kwa nchi za Kiarabu.

  • Nasrullah: Makundi ya kigaidi nchini Syria yanasambaratika

    Nasrullah: Makundi ya kigaidi nchini Syria yanasambaratika

    Jun 29, 2018 23:40

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema matukio yanayojiri katika eneo la Mashariki ya Kati yana manufaa kwa kambi ya muqawama na mapambano na kwamba makundi yanayobeba silaha huko Syria yamo katika hali ya kusambaratika.

  • HAMAS yamuomba msaada Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu wakimbizi wa Palestina

    HAMAS yamuomba msaada Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu wakimbizi wa Palestina

    Jun 16, 2018 11:39

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS), Ismail Haniya amemtumia ujumbe Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, akimuomba msaada kwa ajili ya kutatuliwa matatizo ya wakimbizi wa Kipalestina hususan wale walioko katika kambi ya wakimbizi ya Ain al-Hilweh.

  • Nasrullah asisitiza ulazima wa Waislamu kukabiliana na fitna ya Wasaudi; na Ulimwengu wa Kiislamu kufanya hima ya kuwasaidia watu wa Quds

    Nasrullah asisitiza ulazima wa Waislamu kukabiliana na fitna ya Wasaudi; na Ulimwengu wa Kiislamu kufanya hima ya kuwasaidia watu wa Quds

    Jun 08, 2018 23:03

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema: Njama hatari zaidi ya adui ni mpango wa Marekani wa "Mapatano ya Karne" ambayo lengo lake ni kulitolea hukumu suala la Palestina na kuisalimisha Quds na matukufu yake kwa utawala ghasibu wa Kizayuni.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Hizbullah itaendelea kuwaunga mkono kila upande raia wa Palestina

    Sayyid Hassan Nasrullah: Hizbullah itaendelea kuwaunga mkono kila upande raia wa Palestina

    May 26, 2018 03:36

    Kwa mara nyingine Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon amesisitiza kuwa harakati hiyo itaendeleza uungaji mkono kamili kwa taifa na raia wa Palestina kwa kutumia nyenzo zote dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS