-
Balozi wa Israel atimuliwa na waungaji mkono Palestina, Senegal
May 29, 2025 06:09Balozi wa Israel nchini Senegal, Yuval Waks, alilazimika kuondoka katika Chuo Kikuu cha Dakar baada ya wanafunzi kupinga uwepo wake na kupiga nara za kuunga mkono Palestina chuoni hapa.
-
Miili 105 ya wahamiaji 'haramu' iliopolewa katika pwani ya Senegal 2024
May 21, 2025 02:25Jumla ya miili 105 iliopolewa kutoka baharini pwani ya Senegal mwaka 2024 baada ya kupinduka kwa mitumbwi yao iliyohusishwa na uhamiaji 'usio wa kawaida'.
-
Ni sababu gani zinazifanya nchi za Afrika ziamue kuitimua Ufaransa katika ardhi zao?
Mar 10, 2025 02:27Ufaransa imeanza rasmi kuondoka katika ardhi ya Senegal kwa kukabidhi kambi mbili za kijeshi zilizoko kwenye nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Wanajeshi wa Ufaransa kuondoka Senegal mwishoni mwa 2025
Feb 13, 2025 10:30Ufaransa na Senegal zimeeleza kuwa zimeamua kuunda tume itakayoafanya maandalizi ya kuondoka wanajeshi wa Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi ifikapo mwisho mwa mwaka huu.
-
Wanajeshi wa Ufaransa kuondoka pia Senegal
Jan 19, 2025 05:46Serikali ya Ufaransa inapanga kufunga kambi yake ya kijeshi nchini Senegal baada ya kuwaondoa wanajeshi wake kutoka Senegal.
-
Rais wa Senegal aapa kukabiliana na magendo ya binadamu
Sep 13, 2024 03:05Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amesema kuwa serikali yake itafanya kila liwezekanalo kukabiliana na safari hatarishi za wahamiaji baada ya mkasa wa karibuni kuua makumi ya watu.
-
Waziri Mkuu wa Senegal ataka kutengwa, kususiwa Israel
Sep 01, 2024 06:44Waziri Mkuu wa Senegal, Ousmane Sonko ameziasa nchi za Kiislamu kuususia utawala wa Israel na kuzidisha mashinikizo ya kulitenga dola hilo la Kizayuni.
-
Ecowas yamteuwa Rais wa Senegal kuzungumza na Burkina Faso, Mali na Niger
Jul 09, 2024 02:24Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS) imemtaka Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye kushirikiana na nchi tatu wanachama wake wa zamani zinazoongozwa kijeshi kujaribu kuliunganisha eneo hilo ambalo utulivu wake umekuwa hatarini tangu zilipoamua kujitoa katika jumuiya hiyo mwezi Januari mwaka huu.
-
Mashirika ya kiraia Senegal yataka kukatwa uhusiano wa nchi hiyo na Israel
Jun 18, 2024 07:08Wanaharakati wa mashirika ya kiraia nchini Senegal wametoa mwito kwa serikali ya nchi yao kukakata uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel, kutokana na jinai za kivita na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Waziri Mkuu Senegal akosoa uwepo wa kambi za kijeshi za Ufaransa nchini humo; asema huwenda zikafungwa
May 17, 2024 15:10Waziri Mkuu wa Senegal, Ousmane Sonko, ameashiria uwezekano wa kufungwa kambi za kijeshi za Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Amesema hayo katika hotuba yake mbele ya vyombo vya habari ambayo pia imegusia sarafu ya CFA inayoungwa mkono na Ulaya, mikataba ya mafuta na gesi na kile kinachotajwa kuwa haki za LGBTQ (mabaradhuli) zinazopigiwa chapuo na nchi za Magharibi.