-
Ufaransa yakabidhi kambi za mwisho Senegal, yahitimisha uwepo wa kijeshi wa miongo kadhaa
Jul 17, 2025 10:45Ufaransa jana Alkhamisi ilikabidhi kambi zake za mwisho za kijeshi nchini Senegal, kuashiria kumalizika kwa uwepo wa kijeshi wa mkoloni huyo wa zamani katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi kwa miongo kadhaa.
-
Balozi wa Israel atimuliwa na waungaji mkono Palestina, Senegal
May 29, 2025 02:39Balozi wa Israel nchini Senegal, Yuval Waks, alilazimika kuondoka katika Chuo Kikuu cha Dakar baada ya wanafunzi kupinga uwepo wake na kupiga nara za kuunga mkono Palestina chuoni hapa.
-
Miili 105 ya wahamiaji 'haramu' iliopolewa katika pwani ya Senegal 2024
May 20, 2025 22:55Jumla ya miili 105 iliopolewa kutoka baharini pwani ya Senegal mwaka 2024 baada ya kupinduka kwa mitumbwi yao iliyohusishwa na uhamiaji 'usio wa kawaida'.
-
Ni sababu gani zinazifanya nchi za Afrika ziamue kuitimua Ufaransa katika ardhi zao?
Mar 09, 2025 22:57Ufaransa imeanza rasmi kuondoka katika ardhi ya Senegal kwa kukabidhi kambi mbili za kijeshi zilizoko kwenye nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Wanajeshi wa Ufaransa kuondoka Senegal mwishoni mwa 2025
Feb 13, 2025 07:00Ufaransa na Senegal zimeeleza kuwa zimeamua kuunda tume itakayoafanya maandalizi ya kuondoka wanajeshi wa Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi ifikapo mwisho mwa mwaka huu.
-
Wanajeshi wa Ufaransa kuondoka pia Senegal
Jan 19, 2025 02:16Serikali ya Ufaransa inapanga kufunga kambi yake ya kijeshi nchini Senegal baada ya kuwaondoa wanajeshi wake kutoka Senegal.
-
Rais wa Senegal aapa kukabiliana na magendo ya binadamu
Sep 12, 2024 23:35Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amesema kuwa serikali yake itafanya kila liwezekanalo kukabiliana na safari hatarishi za wahamiaji baada ya mkasa wa karibuni kuua makumi ya watu.
-
Waziri Mkuu wa Senegal ataka kutengwa, kususiwa Israel
Sep 01, 2024 03:14Waziri Mkuu wa Senegal, Ousmane Sonko ameziasa nchi za Kiislamu kuususia utawala wa Israel na kuzidisha mashinikizo ya kulitenga dola hilo la Kizayuni.
-
Ecowas yamteuwa Rais wa Senegal kuzungumza na Burkina Faso, Mali na Niger
Jul 08, 2024 22:54Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS) imemtaka Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye kushirikiana na nchi tatu wanachama wake wa zamani zinazoongozwa kijeshi kujaribu kuliunganisha eneo hilo ambalo utulivu wake umekuwa hatarini tangu zilipoamua kujitoa katika jumuiya hiyo mwezi Januari mwaka huu.
-
Mashirika ya kiraia Senegal yataka kukatwa uhusiano wa nchi hiyo na Israel
Jun 18, 2024 03:38Wanaharakati wa mashirika ya kiraia nchini Senegal wametoa mwito kwa serikali ya nchi yao kukakata uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel, kutokana na jinai za kivita na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.