Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Senegal

  • Maandamano ya wapinzani Senegal yaahirishwa baada ya kupigwa marufuku na serikali

    Maandamano ya wapinzani Senegal yaahirishwa baada ya kupigwa marufuku na serikali

    Feb 13, 2024 12:01

    Maandamano yaliyokuwa yamepangwa kufanyika leo huko Senegal kupinga hatua ya Rais Macky Sall wa nchi hiyo ya kuakhirisha uchaguzi wa rais, yameakhirishwa baada ya serikali kuyapiga marufuku.

  • AU: Tuna wasiwasi kuhusu kuakhirishwa uchaguzi wa Rais Senegal

    AU: Tuna wasiwasi kuhusu kuakhirishwa uchaguzi wa Rais Senegal

    Feb 05, 2024 15:32

    Umoja wa Afrika (AU) umesema kuwa unatiwa wasiwasi na hatua ya Senegal ya kuakhirisha uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.

  • Polisi wapambana na waandamanaji Senegal wanaolalamikia kuakhirishwa uchaguzi wa rais

    Polisi wapambana na waandamanaji Senegal wanaolalamikia kuakhirishwa uchaguzi wa rais

    Feb 05, 2024 06:46

    Wafuasi wa vyama vya upinzani na polisi wamepambana katika mji mkuu wa Senegal Dakar baada ya Rais Macky Sall kutangaza kuakhirisha kwa muda usiojulikana uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Februari 25, na hivyo kuzusha wasiwasi kimataifa.

  • Rais wa Senegal aakhirisha uchaguzi wa rais wa Februari 25 kwa muda usiojulikana

    Rais wa Senegal aakhirisha uchaguzi wa rais wa Februari 25 kwa muda usiojulikana

    Feb 04, 2024 03:22

    Rais Macky Sall wa Senegal ametangaza kuakhirisha kwa muda usiojulikana uchaguzi wa urais uliopangwa kufanyika Februari 25, saa chache kabla ya kampeni rasmi kuanza.

  • Chama cha upinzani chataka kuakhirishwa uchaguzi wa rais Senegal

    Chama cha upinzani chataka kuakhirishwa uchaguzi wa rais Senegal

    Feb 03, 2024 07:29

    Chama cha Democratic cha Senegal (PDS) kimewasilisha muswada Bungeni unaotaka kuakirishwa uchaguzi wa rais ulioratibiwa kufanyika baadaye mwezi huu.

  • Kiongozi wa upinzani Senegal aondolewa katika orodha ya wagombea urais

    Kiongozi wa upinzani Senegal aondolewa katika orodha ya wagombea urais

    Jan 21, 2024 07:50

    Baraza la Katiba la Senegal Jumamosi lilichapisha orodha ya mwisho ya wagombea 20 wa uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika nchini humo Februari 25 ambayo haiwajumuishi kiongozi wa upinzani aliyefungwa Ousmane Sonko, na Karim Wade, mtoto wa rais wa zamani wa Rais wa nchi hiyo Abdoulaye Wade.

  • Ousmane Sonko apatikana na hatia, hataruhusiwa kugombea urais Senegal

    Ousmane Sonko apatikana na hatia, hataruhusiwa kugombea urais Senegal

    Jan 05, 2024 07:44

    Mahakama ya Juu ya Senegal imethibitisha hukumu iliyotolewa Mei mwaka jana na Mahakama ya Rufaa ya kifungo cha miezi sita jela dhidi ya kinara wa upinzani nchini humo, Ousmane Sonko, kwa kumkashifu Waziri wa Utalii, Mame Mbaye Niang.

  • Mahakama Senegal 'yaridhia' kiongozi wa upinzani agombee urais

    Mahakama Senegal 'yaridhia' kiongozi wa upinzani agombee urais

    Dec 15, 2023 10:32

    Mahakama Kuu mjini Dakar imeamuru kusajiliwa upya kwa Ousmane Sonko, kiongozi wa upinzani nchini Senegal katika daftari la wapigakura, na hivyo kumruhusu kuwa mgombea urais.

  • Iran: Afrika ina hamu ya kufufua utambulisho wake

    Iran: Afrika ina hamu ya kufufua utambulisho wake

    Nov 30, 2023 03:53

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisiasa amesisitizia haja ya kuimarishwa uhusiano na ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika ikiwemo Senegal katika nyuga mbalimbali.

  • Rais Macky Sall wa Senegal avunja serikali yake

    Rais Macky Sall wa Senegal avunja serikali yake

    Oct 07, 2023 07:25

    Rais Macky Sall wa Senegal amesaini dikrii ya kuivunja serikali yake, miezi michache kabla ya kumalizika hatamu yake ya uongozi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS