-
Kiongozi wa upinzani Senegal alazwa hospitalini baada ya kususia kula kwa wiki nzima
Aug 07, 2023 11:41Kiongozi wa upinzani nchini Senegal ambaye amekuwa kwenye mgomo wa kula akipinga kuwekwa kizuizini, amelazwa hospitalini. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na wafuasi wake.
-
Wahajiri 300 kutoka Senegal wahofiwa kufa maji wakielekea Uhispania
Jul 11, 2023 07:14Mamia ya wahajiri wanahofiwa kupoteza maisha baada ya boti tatu walizokuwa wakisafiria kuelekea Uhispania kutoweka baharini.
-
Rais wa Senegal: Sitagombea muhula mwingine wa urais
Jul 04, 2023 06:55Rais Macky Sall wa Senegal amesema hatagombea muhula wa tatu wa urais katika uchaguzi mkuu ujao unaotazamiwa kufanyika mwaka ujao 2024.
-
UN yabainisha wasiwasi wake kuhusu haki za binadamu huko Senegal
Jun 14, 2023 04:41Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake mkubwa kuhusu hali ya haki za binadamu huko Senegal.
-
Ghasia zashtadi Senegal, mitandao ya kijamii yafungwa
Jun 03, 2023 01:34Watu kadhaa wameuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa nchini Senegal, katika maandamano ya ghasia ya wafuasi wa kiongozi wa upinzani nchini humo Ousmane Sonko, ambaye karibuni alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela.
-
Maonyesho ya Qur'ani Tukufu yaanza Senegal
Apr 15, 2023 06:25Maonyesho makubwa ya Qur'ani Tukufu yameanza Dakar, mji mkuu wa Senegal huko Magharibi mwa Afrika kwa hima na juhudi za Chuo Kikuu cha Al-Mustafa.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Senegal awekwa korokoroni kwa kumuuliza suali Rais Macky Sall
Mar 10, 2023 10:17Waziri mkuu wa zamani wa Senegal Cheikh Hadjibou Soumare amewekwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kumuuliza Rais Macky Sall kama alimpatia fedha mwanasiasa mmoja wa Ufaransa. Hayo ni kwa mujiibu wa wakili mmoja wa utetezi.
-
Kuwasili nchini Iran ujumbe wa kiuchumi wa Senegal
Feb 23, 2023 07:37Ujumbe wa ngazi ya juu wa kiuchumi wa Senegal ukiongozwa na mshauri mkuu wa rais na mkuu wa chama cha wafanyakazi cha nchi hiyo umeasili mjini Tehran.
-
Ajali ya pili ya barabarani Senegal ndani ya wiki moja yaua watu 19
Jan 17, 2023 03:46Ndani ya wiki moja tangu ilipotokea ajali mbaya ya barabarani nchini Senegal, ambapo watu 125 waliuawa na kujeruhiwa, ajali nyingine imetokea kaskazini mwa nchi hiyo na kuua watu 19.
-
Senegal yaomboleza vifo vya makumi ya watu katika ajali ya barabarani
Jan 09, 2023 04:09Rais Macky Sall wa Senegal ametangaza siku 3 za maombolezo kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyosababisha vifo vya makumi ya watu mapema jana Jumapili.