-
Bunge jipya la Senegal lina idadi kubwa ya wabunge wateule wanawake
Sep 12, 2022 02:19Senegal leo Jumatatu inafungua pazia jipya wakati idadi kubwa ya wabunge wateule katika bunge jipya la nchi hiyo watakapoanza shughuli zao, na hivyo kutoa matumaini ya kujiri mabadiliko katika nchi hiyo ambayo sheria na mitazamo ya mfumo dume imekita mizizi.
-
Rais Raisi: Kuipa umuhimu Afrika ni moja ya mihimili mikuu ya sera za nje za Iran
Jun 01, 2022 08:07Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuipa umuhimu Afrika ni moja ya mihimili mikuu ya sera za nje za Tehran.
-
Khatibzadeh: Bara la Afrika lina nafasi maalumu katika siasa za nje za Iran
Mar 30, 2022 11:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa bara la Afrika lina nafasi ya juu kabisa katika siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zaidi ya watu 6,000 wakimbia makazi yao nchini Gambia kutokana na mzozo wa Casamance, Senegal
Mar 21, 2022 06:42Mamlaka ya Gambia imetangazai kwamba imehesabu zaidi ya watu 6,000 waliokimbia ghasia za wiki moja iliyopita kati ya jeshi na waasi wenye silaha katika eneo la Casamance kusini mwa nchi jirani ya Senegal.
-
Rais wa Senegal alipongeza taifa la Iran kwa maadhimisho ya Siku ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2022 06:55Rais wa Senegal ametoa mkono wa baraka na fanaka kwa serikali na taifa la Iran kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Wabunge Senegal wawasilisha muswada dhidi ya ushoga
Dec 24, 2021 02:50Kundi la wabunge nchini Senegal limewasilisha muswada bungeni ili kutilia mkazo na kulipa nguvu suala la kutokomeza vitendo vya ushoga na mahusiano ya watu wenye jinsia moja katika nchi hiyo ya Maghariibi mwa Afrika yenye raia wengi Waislamu.
-
Skuli zafungwa kwa muda wa juma zima Senegal kufuatia mapigano na machafuko
Mar 08, 2021 07:42Skuli zimefungwa kwa muda wa juma zima nchini Senegal kutokana na mapigano na machafuko yaliyozuka hivi karibuni nchini humo.
-
4 wauawa katika maandamano ya kupinga kukamatwa kinara wa upinzani Senegal
Mar 06, 2021 08:14Kwa akali watu wanne wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya ghasia ya kulalamikia kitendo cha maafisa usalama kumtia mbaroni kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Senegal.
-
Rais wa Senegal yuko karantini baada ya kutangamana na mwenye corona
Jun 25, 2020 07:56Rais Macky Sall wa Senegal amejiweka katika karantini baada ya kutagusana na mtu mwenye maradhi ya COVID-19.
-
Wananchi wa Senegal waandamana kulaani ubaguzi wa rangi Marekani
Jun 11, 2020 08:04Wananchi wa Senegal wamefanya maandamano kulaani ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi ya Marekani dhidi ya raia weusi wa nchi hiyo.