-
Mawakili wa Zakzaky wamwandikia barua Mwanasheria Mkuu, Waziri
Feb 28, 2017 07:49Mawakili wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wamemuandikia barua Mwanasheria Mkuu na Waziri wa Sheria wa nchi hiyo, wakishinikiza kuachiwa huru msomi huyo wa Kiislamu pamoja na mkewe.
-
Polisi Nigeria wawafyatulia mabomu ya kutoa machozi wafuasi wa Sheikh Zakzaky
Jan 26, 2017 13:52Maafisa usalama nchini Nigeria wamewafyatulia mabomu ya kutoa machozi wafuasi wa kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky ambaye anaendelea kuzuiliwa kinyume cha sheria.
-
Viongozi wa Nigeria wang'ang'ania Sheikh Zakzaky afunguliwe mashtaka
Dec 06, 2016 15:52Licha ya Mahakama Kuu ya Nigeria kutoa amri ya kuitaka serikali ya shirikisho imwachie huru kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky, viongozi wa jimbo la Kaduna wangali wanashikilia kiongozi huyo wa kidini ashtakiwe na kuhukumiwa kifungo jela.
-
Mahakama ya Nigeria yaamuru Sheikh Zakzaky aachiliwe huru
Dec 02, 2016 15:56Mahakama nchini Nigeria imeiamuru serikali kumuachilia huru Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Sisitizo la Waislamu wa Nigeria la kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
Nov 23, 2016 04:17Wanaharakati wa jumuiya ya kiraia ya Nigeria wameitaka rasmi serikali ya nchi hiyo imuachilie huru Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeshikiliwa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo kwa karibu mwaka mmoja sasa.
-
Harakati ya Kiislamu Nigeria yataka wananchi kudumisha maandamano ya amani dhidi ya serikali
Nov 09, 2016 13:57Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imewataka wananchi wa nchi hiyo kudumisha maandamano ya amani dhidi ya serikali ya nchi hiyo ili kushinikiza suala la kuachiwa huru kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeendelea kushikiliwa katika korokoro za nchi hiyo.
-
IHRC: Saudia inashiriki kukandamiza Harakati ya Kiislamu Nigeria
Oct 21, 2016 03:23Kamisheni ya Haki za Binadamu za Kiislamu (IHRC) yenye makao yake mjini London Uingereza imetangaza kuwa, nyaraka zilizofichuliwa na mtandao wa WikiLeaks zinathibitisha kwamba Saudi Arabia inashiriki katika kukandamiza Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria.
-
Nigeria yamkamata mjumbe wa Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu
Oct 16, 2016 14:40Vikosi vya usalama Nigeria vimemkamata mjumbe wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo.
-
Jeshi la Nigeria lawazingira Waislamu wa madehebu ya Shia katika maombolezo ya Imam Hussein AS
Oct 12, 2016 04:24Jeshi la Nigeria limewazingria Waislamu wa madheebu ya Shia waliokuwa wamekusanyika msikitini katika hafla ya maombolezo ya kukumbuka kuuawa shahidi Mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
-
Harakati ya Kiislamu yapigwa marufuku Kaduna, Nigeria
Oct 08, 2016 06:48Harakati ya Kiislamu ya Nigeria inayoongozwa na Sheikh Ibrahim Zakzaky imepigwa marufuku katika jimbo la Kaduna huku Waislamu wakiendelea kukandamizwa nchini humo.