-
Muhammad Eslami: Sera za milango wazi zipo katika ajenda ya kazi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Aug 09, 2024 02:47Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa nchi za Magharibi zinaituhumu Iran kuwa inaficha sekta yake ya nyuklia, ilhali Tehran inatekeleza sera za milango wazi katika ajenda yake.
-
Iran yaanza urutubishaji urani katika kiwango cha asilimia 60
Nov 23, 2022 02:42Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran amesema: "Uzalishaji urani katika kiwango cha asilimia 60 umeanza katika Kituo cha Nyuklia cha Fordo."
-
Msemaji wa AEOI: Madai ya IAEA kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran hayana msingi wa kisheria
Sep 14, 2022 02:18Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema: ombwe la usimamizi ambalo Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA linadai kuwepo katika mpango wa amani wa nyuklia wa Iran halina msingi wowote wa kisheria.
-
Mazungumzo kati ya marais wa Iran na Ufaransa; Raisi akosoa sera za kuzusha migogoro za Wamagharibi
Jul 24, 2022 07:34Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, zzimio lililotolewa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki dhidi ya Iran ni hatua ya kuzusha mgogoro iliyokuwa na lengo la kuliwekea mashinikizo taifa la Iran.
-
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki: Makelele ya kisiasa dhidi ya Iran hayaathiri chochote
Jun 17, 2022 03:44Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran AEOI amesema: makelele ya kisiasa na mashinikizo dhidi ya Iran hayakuwa na matokeo yoyote huko nyuma na hivi sasa pia hayatakuwa na athari yoyote.
-
Muhammad Eslami: Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran ni kiranja wa kukabiliana na ulimwengu wa Kiistikbari
Mar 14, 2022 04:37Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesisitiza kuwa, shirika hilo ni kiranja wa kukabiliana na ulimwengu wa kiistikbari.
-
Eslami: IAEA isichukue misimamo ya kisiasa kuhusu Iran
Mar 05, 2022 14:26Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesisitiza kuwa, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) unapaswa kuchukua msimamo usio wa kisiasa kuhusu Iran.
-
Iran yakaribisha ushirikiano na mashirika ya kimataifa na taasisi za utafiti
Mar 05, 2022 03:05Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa, Tehran inakaribisha ushirikiano na mashirika ya kimataifa na taasisi za kielimu na kiutafiti.
-
Spika wa Bunge la Iran: AEOI haitaikabidhi IAEA video za taarifa zake
Jun 27, 2021 08:10Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI) halitaukabidhi Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) video zilizonakili taarifa za taasisi hiyo ya Iran, kwa kuwa muhula uliokuwa umeainishwa umemalizika, wala haujarefushwa tena.
-
Shirika la Atomiki la Iran latakiwa kuzalisha urani iliyorutubishwa kwa zaidi ya asilimia 20
Dec 01, 2020 12:53Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wamelitaka Shirika la Atomiki la Iran kuzalisha urani iliyorutubishwa kwa zaidi ya asilimi 20 kwa ajili ya matumizi ya amani.