-
Waziri wa Afya Kenya: Hoteli na migahawa isiwapokee watu ambao hawajachanjwa
Dec 28, 2021 08:02Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Afya, imeagiza migahawa na hoteli kutotoa huduma kwa wateja ambao hawajachanjwa kama njia ya kukabiliana na maambukizi ya COVID-19 nchini humo hususan katika kipindi hiki cha sikukuu za mwishoni mwa mwaka.
-
Rouhani atoa mkono wa kheri kwa viongozi wa nchi zinazoadhimisha mwaka mpya 1400 (Nowruz)
Mar 21, 2021 04:20Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewanyooshea mkono wa kheri, baraka na fanaka viongozi na marais wenzake wa nchi kadhaa duniani ambazo zinaadhimisha sherehe za Nowruz (Nairuzi) za kuwadia mwaka mpya wa 1400 Hijria Shamsia.
-
Kiongozi Muadhamu: Katika kadhia ya JCPOA, Wazungu wametupiga jambia kwa nyuma
Mar 22, 2019 16:58Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika siku ya kwanza ya mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia, jana Alkhamisi jioni alitoa hotuba muhimu sana iliyozingatia masuala mbalimbali Ukiwemo msimamo wa Wamagharibi kuhusu Iran mbele ya mjumuiko mkubwa na uliojaa hamasa wa wafanyaziara na majiran wa Haram ya Imam Ridha AS mjini Mash'had kaskazini mashariki mwa Iran.
-
Mwaka mpya katika matazamio ya ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi
Mar 21, 2019 12:56Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, ametoa ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kuanza mwaka 1398 Hijria Shamsia, na kuupa mwaka huo mpya jina la mwaka wa "Kustawi Uzalishaji."
-
Kiongozi Muadhamu autangaza Mwaka 1398 Shamsiya kuwa mwaka wa "kustawi uzalishaji"
Mar 21, 2019 03:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika ujumbe kwa munasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1398 Hijiria Shamsia, ametuma salamu za pongezi za Nowuruz (Nairuzi) na pia salamu kwa munasaba wa Wilada ya Imam Ali AS kwa wananchi wa Iran na hasa familia za mashahidi na majeruhi wa vita na amelitakia taifa la Iran mwaka wenye furaha, saada, afya ya kimwili na mafanikio ya kimaada na kimaanawi na ameutaja mwaka mpya kuwa mwaka wa "kustawi uzalishaji".
-
Matamshi ya Kiongozi Muadhamu kuhusiana na matukio mbalimbali ya kieneo
Mar 22, 2018 06:57Jumatano ya jana Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alikutana na idadi kubwa ya wafanya ziara na wakazi wanaoishi jirani na Haramu Tukufu ya Imam Ridha (as) mjini Mash'had kwa mnasaba wa sikukuu ya Nairuzi, ambapo alitoa ufafanuzi jumla kuhusiana na matukio mbalimbali ya eneo la Mashariki ya Kati na masuala ya dharura ya kiuchumi pamoja na mambo mengine muhimu.
-
Kiongozi Muadhamu: Mwaka 1397 hijria shamsia, mwaka wa "kuunga mkono bidhaa za Iran"
Mar 20, 2018 17:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, ameutangaza mwaka mpya wa 1397 hijria shamsia kuwa mwaka wa "kuunga mkono bidhaa za Iran".
-
Ujumbe wa Nairuzi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi; sisitizo juu ya utambulisho na izza ya taifa la Iran
Mar 21, 2017 02:47Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1396 hijria shamsia.
-
Rouhani: Uchumi wa Iran kustawi kwa 5%
Mar 20, 2016 15:46Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema nchi hii inalenga kuwa na ustawi wa kiuchumi wa asilimia tano katika mwaka mpya wa Kiirani ulioanza Machi 20.