-
Silaha gani ni ya hatari zaidi inayotumiwa na MOSSAD kwa ajili ya kuilinda Israel?
Mar 26, 2016 23:35Mtandao wa Intaneti wa "Sauti ya Israel" umefichua kuwa, silaha ya hatari zaidi inayotumiwa na shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni MOSSAD ni mwili wa mwanamke wa Kiyahudi.
-
Magaidi wakamatwa na silaha za Israel nchini Syria
Mar 11, 2016 23:03Vyombo vya usalama vya nchini Syria vimetangaza kuwa vimekamata magaidi kadhaa waliokuwa na silaha za utawala wa Kizayuni wa Israel nchini humo.
-
Boti ya silaha zinazoaminiwa ni za ash Shabab yakamatwa na askari wa Australia
Mar 07, 2016 23:43Vyombo vya habari vya Australia vimeripoti kuwa, maafisa usalama wa nchi hiyo wamekamata boti ya uvuvi iliyokuwa imejaa silaha zilizokuwa zinapelekwa kwa wanamgambo wa ash Shabab nchini Somalia.
-
Lavrov aitaka Uturuki kukoma kutuma silaha kwa makundi ya kigaidi Syria
Mar 02, 2016 03:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametaka kuchukuliwe hatua za kuzuia magendo ya silaha kutoka Uturuki kwenda Syria ambako zinatumiwa na makundi ya kigaidi.
-
Yemen yakaribisha vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Saudia
Feb 26, 2016 04:43Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi nchini Yemen amekaribisha kwa mikono miwili mpango wa Umoja wa Ulaya wa kuiwekea vikwazo na marufuku ya kuuziwa silaha Saudi Arabia.
-
Maelfu ya waasi waweka chini silaha nchini Sudan
Feb 19, 2016 00:09Maelfu ya waasi wa harakati ya SPLM tawi la Abdul Wahid Nour wameweka chini silaha zao nchini Sudan.