Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • UN yataka kuzidishwa haraka misaada ya kibinadamu huko Somalia

    UN yataka kuzidishwa haraka misaada ya kibinadamu huko Somalia

    Oct 23, 2022 01:05

    Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imetoa wito wa kuzidishwa misaada ya kibinadamu ya haraka kwa ajili ya Somalia.

  • Mjumbe wa Somalia: Uingereza imepoteza nafasi yake, suala hilo linaathiri mapambano dhidi ya njaa

    Mjumbe wa Somalia: Uingereza imepoteza nafasi yake, suala hilo linaathiri mapambano dhidi ya njaa

    Oct 15, 2022 01:00

    Abdirahman Abdishakur Warsame mjumbe wa Rais wa Somalia anayehusika na mapambano dhidi ya ukame nchini humo amesema kuwa, Uingereza imepoteza nafasi yake ya uongozi duniani na kuwaangusha nchi waitifaki wake.

  • Vikwazo vya Marekani vinazuia kupelekwa misaada ya kibinadamu Somalia

    Vikwazo vya Marekani vinazuia kupelekwa misaada ya kibinadamu Somalia

    Sep 28, 2022 04:36

    Shirika moja la kibinadamu limesema vikwazo vya Marekani vya 'kupambana na ugaidi' vimekwamisha shughuli za kuwafikishia wananchi wa Somalia misaada ya kibinadamu.

  • UNICEF: Watoto laki tano wanakabiliwa na hatari ya kifo Somalia kutokana na uhaba wa chakula

    UNICEF: Watoto laki tano wanakabiliwa na hatari ya kifo Somalia kutokana na uhaba wa chakula

    Sep 17, 2022 03:24

    Msemaji wa Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) amesema katika taarifa kwamba, watoto nusu milioni nchini Somalia wanakabiliwa na hatari ya kifo kutokana na uhaba wa chakula na utapiamlo.

  • Ukame watishia maisha ya watu na mifugo Somalia, UN yaonya

    Ukame watishia maisha ya watu na mifugo Somalia, UN yaonya

    Sep 05, 2022 21:45

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya kibinadamu ametahadharisha kuhusu kutokea janga kubwa la kibinadamu kutokana na ukame wa muda mrefu katika maeneo tofauti ya Somalia.

  • Watu 20 wauawa Somalia katika shambulio la kigaidi la al-Shabab

    Watu 20 wauawa Somalia katika shambulio la kigaidi la al-Shabab

    Sep 03, 2022 06:25

    Watu wasiopungua 20 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi la al-Shabab katikati mwa Somalia.

  • Kuongezeka hujuma za  kigaidi barani Afrika

    Kuongezeka hujuma za kigaidi barani Afrika

    Aug 24, 2022 23:12

    Kuenea kwa hujuma za kigaidi katika kanda tofauti za bara Afrika, hasa kuongezeka kwa mashambulizi yanayotekelezwa na makundi ya Al-Shabaab huko Somalia na Boko Haram nchini Nigeria, kumepelekea kuibuka wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa ukosefu wa usalama barani Afrika na duniani kote.

  • Jinai mpya ya Marekani Somalia, Biden ameua Wasomali 465

    Jinai mpya ya Marekani Somalia, Biden ameua Wasomali 465

    Aug 22, 2022 02:21

    Shirika linalochunguza mashambulizi ya anga ya kimataifa limefichua kuwa Marekani inaficha idadi halisi ya vifo vya raia nchini Somalia na kwamba idadi ya waliopoteza maisha katika nchi hiyo ya Afrika ni mara 30 zaidi ya ile iliyotangazwa na Pentagon.

  • Waliouawa katika shambulio dhidi ya hoteli Mogadishu wapindukia 20

    Waliouawa katika shambulio dhidi ya hoteli Mogadishu wapindukia 20

    Aug 21, 2022 23:54

    Watu wasiopungua 21 wameuawa huku wengine 117 wakijeruhiwa, baada ya kundi la kigaidi la la al-Shabaab kuwashika mateka mamia ya watu katika hoteli moja huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.

  • Watu 10 wauawa Mogadishu katika shambulio la magaidi wa al-Shabab

    Watu 10 wauawa Mogadishu katika shambulio la magaidi wa al-Shabab

    Aug 20, 2022 03:24

    Kwa akkali watu 10 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu kufuatia hujuma na mashambulio ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabab.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS