-
Rais wa Somalia amfuta kazi Waziri Mkuu wake, mzozo wapamba moto.
Dec 27, 2021 03:33Rais wa Somalia amemfuta kazi Waziri Mkuu wake wakati huu wa kuendelea uchaguzi wa bunge na hivyo kuzusha mzozo mpya wa kisiasa katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
5 wauawa katika shambulio la bomu la al-Shabaab kusini mwa Somalia
Dec 05, 2021 23:47Watu wasiopungua watano wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea katika mgahawa mmoja wenye shughuli nyingi kusini mwa Somalia.
-
Al-Shabaab yashambulia askari wa Ethiopia, uwanja wa ndege Somalia
Dec 01, 2021 00:13Kundi la kigaidi la al-Shabaab limeshambulia uwanja wa ndege na kambi ya kijeshi ya askari wa Ethiopia katika mji wa Baidoa, ulioko kusini magharibi mwa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Watu watano waaga dunia katika mlipuko wa bomu karibu na shule huko Mogadishu
Nov 25, 2021 04:45Watu watano wameuawa na wengine zaidi ya 12 wamejeruhiwa hii leo katika mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari karibu na shule moja katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Mwanahabari mtajika wa redio ya Somalia auawa katika shambulio la kigaidi
Nov 21, 2021 04:49Kundi la kigaidi la al Shabaab lenye mfungamano na mtandao wa al Qaida limehusika katika mlipuko wa bomu uliosababisha kifo cha mwandishi habari mtajika wa redio ya serikali ya Somalia huko Mogadishu.
-
Askari 2 wa Uganda wahukumiwa kifo kwa mauaji ya raia Somalia
Nov 14, 2021 04:46Askari wawili wa Jeshi la Ulinzi la Uganda (UPDF) wanaohudumu kwenye Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) wamehukumiwa kifo, kutokana na mauaji ya raia katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Jeshi la Somalia laangamiza magaidi 9 wa al-Shabaab kusini mwa nchi
Nov 11, 2021 00:44Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) limetangaza kuwa limeua magaidi tisa wa kundi la al-Shabaab katika wilaya ya Awdhigle kusini mwa nchi hiyo.
-
Askari wa Uganda kushtakiwa kwenye mahakama ya kijeshi kwa kuua raia Somalia
Oct 23, 2021 04:19Mpango wa Umoja wa Afrika wa kulinda amani nchini Somalia AMISOM umeshauri mahakama ya kijeshi ya Uganda iwafungulie mashtaka askari wa nchi hiyo wanaohudumu katika mpango huo, ambao wamehusishwa na mauaji ya raia nchini Somalia.
-
Uganda kutuma askari polisi 160 wa kulinda amani Somalia
Oct 15, 2021 00:50Uganda inajiandaa kutuma maafisa wa polisi wapatao 160 nchini Somalia, kwenda kushiriki operesheni za kudumisha amani katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Somalia yatoa wito wa kushirikiana na Kenya baada ya uamuzi wa ICJ
Oct 13, 2021 22:52Rais wa Somalia amesema katika hotuba yake aliyotoa jana Jumatano kwamba, uamuzi uliotolewa siku ya Jumanne na Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kuhusu mzozo wa mpaka na Kenya ni fursa kwa nchi mbili hizo kushirikiana.