-
Jeshi la Somalia lawaangamiza mamluki wenye mfungamano na kundi la al Shabaab
Dec 01, 2020 04:30Mamluki kadhaa wenye mfungamano na kundi la kigaidi la al Shabaab la huko Somalia wameuawa katika mapigano kati ya kundi hilo na jeshi la Somalia.
-
Somalia yamtimua balozi wa Kenya na kumwita nyumbani balozi wake aliyeko Nairobi
Nov 30, 2020 08:06Somalia imemwita nyumbani balozi wake aliyeko Nairobi sambamba na kumpa masaa 24 balozi wa Kenya mjini Mogadishu awe ameondoka katika ardhi ya Somalia.
-
Watu 12 wauawa katika mashambulio mawili ya kigaidi huko Somalia
Nov 26, 2020 04:40Maafisa usalama wa Somalia wametangaza kuwa, watu 12 wameaga dunia katika mashambulio mawili tofauti ya kigaidi nchini humo.
-
Nchi za Afrika zina wasiwasi kuhusu oparesheni ya Al-Shabab ya kuajiri wapiganaji Somalia
Nov 13, 2020 07:57Mawaziri wa nchi za Afrika ambazo zina askari katika kikosi cha kulinda amani nchini Somalia wamebainisha wasiwasi wao kuhusu kampeni ya kundi la Al-Shabab ya kuajiri wapiganaji wapya nchini Somalia.
-
Waziri wa eneo la Jubaland, Somalia anusurika kifo; walinzi wake 2 wauawa
Nov 12, 2020 22:06Waziri wa eneo la Jubaland kusini mwa Somalia jana Alkhamisi alinusuruka kifo baada ya mlipuko wa bomu kuyakumbuka makazi yake huko Kismayo kusini mwa mji mkuu, Mogadishu.
-
Magaidi 17 wa al-Shabaab wauawa na jeshi la Somalia, Hiran
Nov 05, 2020 23:06Jeshi la Taifa la Somalia SNA limetangaza habari ya kuwaangamiza wanachama 17 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika eneo la Hiran, katikati mwa nchi hiyo.
-
Marekani sasa inaishinikiza Somalia kuanzisha uhusiano na Israel
Nov 02, 2020 04:04Vyombo vya habari nchini Somalia vimeripoti kuwa, Marekani inaishinikiza nchi hiyo ianzishe uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kamanda wa ngazi za juu wa al-Shabaab auawa na jeshi la Somalia
Nov 02, 2020 00:56Serikali ya Somalia imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kumuangamiza kamanda wa ngazi za juu wa wanamgambo wa kundi la al-Shabaab, kusini mwa nchi hiyo.
-
UN: Mafuriko yameua watu 35 nchini Somalia, milioni 1.6 wameathiriwa
Oct 29, 2020 03:36Umoja wa Mataifa umetangaza habari ya kupoteza maisha watu 35 nchini Somalia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha nchini humo.
-
Majeshi ya Jubaland na Kenya yatibua shambulio la al-Shabaab Somalia
Oct 28, 2020 04:25Askari wa Kikosi Maalumu cha Jubaland wakishirikiana na askari wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) wamefanikiwa kuzima shambulizi la kigaidi la kundi la wanamgambo wa al-Shabaab katika eneo la Lower Jubba, kusini mwa Somalia.