Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Kenya yaanzisha uchunguzi baada ya helikopta yake ya kijeshi kuanguka Somalia

    Kenya yaanzisha uchunguzi baada ya helikopta yake ya kijeshi kuanguka Somalia

    Aug 05, 2020 06:26

    Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) limeanzisha uchunguzi baada ya helikopta yake kuanguka kusini mwa Somalia, na kusababisha wanajeshi wake 10 kujeruhiwa.

  • Somalia yaipongeza Uturuki kwa kufungua tena Msikiti wa Hagia Sophia

    Somalia yaipongeza Uturuki kwa kufungua tena Msikiti wa Hagia Sophia

    Jul 27, 2020 03:19

    Somalia imeipongeza Uturuki kwa hatua yake ya kufungua tena Msikiti wa Hagia Sophia baada ya miaka 86.

  • Bunge la Somalia lapiga kura ya kumuondoa Waziri Mkuu Khayre

    Bunge la Somalia lapiga kura ya kumuondoa Waziri Mkuu Khayre

    Jul 25, 2020 22:12

    Bunge la Somalia jana Jumamosi lilipiga kura ya kumtimua Waziri Mkuu Hassan Ali Khaire, ambaye amekuwa akikosolewa kuhusu udhaifu wake katika kutatua matatizo ya usalama nchini humo.

  • Wapiganaji 18 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab waangamizwa nchini Somalia

    Wapiganaji 18 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab waangamizwa nchini Somalia

    Jul 19, 2020 02:22

    Kwa akali wapiganaji 18 wa kundi la kiigaidi la al-Shabab wameangamizwa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia mashambulio ya jeshi la nchi hiyo dhidi ya wanamgambo hao katika mji wa Jilib.

  • Mkuu wa jeshi la Somalia anusurika kifo, raia mmoja auawa katika shambulizi la al Shabab

    Mkuu wa jeshi la Somalia anusurika kifo, raia mmoja auawa katika shambulizi la al Shabab

    Jul 13, 2020 22:01

    Mkuu wa jeshi la Somalia amenusurika jaribio la kumuua lililofanyinwa kwa gari lilikokuwa limeshehena mabomu lililotaka kuvamia msafara wake mjini Mogadishu.

  • Magaidi 5 wa al-Shabaab waangamizwa kusini mwa Somalia

    Magaidi 5 wa al-Shabaab waangamizwa kusini mwa Somalia

    Jul 07, 2020 02:43

    Jeshi la Kitaifa la Somalia limetangaza habari ya kuangamiza wanachama watano wa kundi la kigaidi la al-Shabaab huko kusini magharibi mwa nchi.

  • Watu watano wauawa katika hujuma za kigaidi Somalia

    Watu watano wauawa katika hujuma za kigaidi Somalia

    Jul 04, 2020 23:19

    Watu wasiopungua watano wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia hujuma za kigaidi nchini Somalia jana Jumamosi.

  • Kamanda wa al Shabab aangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia

    Kamanda wa al Shabab aangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia

    Jun 26, 2020 02:13

    Redio ya serikali ya Somalia imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kumuangamiza kamanda wa wanamgambo wa kundi la al Shabab.

  • Kituo cha kijeshi cha Uturuki nchini Somalia chashambuliwa, 2 wauawa

    Kituo cha kijeshi cha Uturuki nchini Somalia chashambuliwa, 2 wauawa

    Jun 23, 2020 23:21

    Kwa akali raia wawili wamepoteza maisha katika shambulizi la kigaidi lililolenga kambi ya kijeshi ya Uturuki katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

  • Jeshi la Somalia laangamiza makumi ya wanamgambo wa al-Shabaab

    Jeshi la Somalia laangamiza makumi ya wanamgambo wa al-Shabaab

    Jun 22, 2020 07:48

    Wanachama wasiopungua 27 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameuawa katika operesheni kadhaa zilizofanywa na jeshi la Somalia katika eneo la Shebelle Kusini mwa nchi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS