-
UN yataka Somalia isaidiwe kukabiliana na COVID-19
Jun 21, 2020 23:33Mjumbe maalum wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia ametoa wito wa kutolewa misaada zaidi ya kimataifa kwa Somalia ili kuisaidia kukabiliana na janga la COVID-19 au corona.
-
Mashambulizi pacha ya mabomu yaua raia na askari kadhaa nchini Somalia
Jun 21, 2020 10:23Kwa akali watu saba wameuawa katika mashambulizi mawili tofauti ya mabomu yanayoaminika kufanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab huko kusini na katikati mwa Somalia ndani ya masaa 24.
-
Jeshi la Somalia laangamiza magaidi 37 wa al-Shabaab
Jun 07, 2020 22:09Jeshi la Taifa la Somalia limetangaza kuwa limefanikiwa kuua makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab huko kusini mwa nchi.
-
UN: Somalia imekumbwa na majanga ya COVID-19, mafuriko na uvamizi wa nzige
Jun 04, 2020 21:56Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada ya Kibinadamu (OCHA) limetangaza kuwa Somalia inakabiliwa na majanga yaliyosababshwa na mafuriko, uvamizi wa nzige wa jangwani na ugonjwa wa COVID-19.
-
7 wauawa katika mripuko wa bomu karibu na Mogadishu, Somalia
May 31, 2020 07:08Kwa akali watu saba wamepoteza maisha baada ya basi dogo lililokuwa limewabeba kukanyaga bomu la kutegwa ardhini kando ya barabara moja katika kijiji cha Hawa Abdi viungani mwa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Jeshi la Somalia laua magaidi wengine 7 wa al-Shabaab
May 26, 2020 23:09Jeshi la Taifa la Somalia limefanikiwa kuangamiza wanachama saba wa kundi la kigaidi la al-Shabaab katika eneo la Hiran, katikati mwa nchi.
-
Wanachama kadhaa wa al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Jubaland
May 25, 2020 21:57Jeshi la eneo lenye mamlaka ya ndani la Jubaland limetangaza habari ya kuangamiza wanachama wanne wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab katika mji wa Dhobley, Kusini mwa Somalia.
-
Mwanamke Mtaliano aliyesilimu akiwa Somalia atumiwa jumbe za chuki
May 13, 2020 03:45Mwanamke mmoja raia wa Italia aliyekuwa ametekwa nyara nchini Somalia kwa karibu mwaka mmoja na nusu ameshambuliwa vikali na kutumiwa jumbe za chuki na vitisho baada ya kubainika kuwa aliukubali Uislamu akiwa mateka.
-
Ethiopia yakiri kutungua ndege ya Kenya katika ardhi ya Somalia
May 09, 2020 08:05Askari wa jeshi la Ethiopia wamekiri kuwa walitungua kimakosa ndege ndogo ya Kenya iliyokuwa imebeba misaada na vifaa vya kupambana na janga la corona katika mji wa Bardale, kusini mwa eneo la Bay nchini Somalia.
-
Mafuriko yaua watu 260 Kenya, Rwanda na Somalia
May 08, 2020 03:48Kwa akali watu 260 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi za Afrika Mashariki za Kenya, Rwanda na Somalia.