Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Jamii ya Kimataifa yatakiwa ichukue hatua kuepusha vita vya wenyewe kwa wenyewe Sudan

    Jamii ya Kimataifa yatakiwa ichukue hatua kuepusha vita vya wenyewe kwa wenyewe Sudan

    Apr 22, 2023 22:50

    Makundi ya Muungano wa Uhuru na Mabadiliko Sudan yametoa wito wa kuitaka Jamii ya Kimataifa ichukue hatua kuzuia kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.

  • Jenerali Mkuu Sudan: Bado nina azma ya kukabidhi madaraka kwa serikali ya kiraia

    Jenerali Mkuu Sudan: Bado nina azma ya kukabidhi madaraka kwa serikali ya kiraia

    Apr 21, 2023 22:07

    Jenerali Mkuu wa Sudan jana alieleza kuwa jeshi la nchi hiyo lingali lina nia ya kukabidhi madaraka kwa serikali ya kiraia. Hayo ni matamshi ya kwanza kutolewa kiongozi wa baraza la uongozi wa kijeshi la Sudan Jenerali Abdel Fattah al Burhan tangu kuanza karibu wiki moja iliyopita mapigano makali huko Sudan kati ya vikosi vitiifu kwa kiongozi huyo wa jeshi na askari kikosi cha radiamali ya haraka (RSF).

  • WHO yatahadharisha kuhusu hali mbaya ya kiafya nchini Sudan

    WHO yatahadharisha kuhusu hali mbaya ya kiafya nchini Sudan

    Apr 21, 2023 03:52

    Msemaji wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika eneo la Mashariki ya Mediterania ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya kiafya nchini Sudan kufuatia miapigano yanayoendelea baina ya makundi mawili ya jeshi la nchi hyo.

  • Maelfu wakimbia Sudan huku usitishaji mapigano ukigonga mwamba

    Maelfu wakimbia Sudan huku usitishaji mapigano ukigonga mwamba

    Apr 20, 2023 08:55

    Maelfu ya wananchi wa Sudan wanakimbia mapigano yanayoendelea nchini humo leo yakiingia katika siku ya sita baada ya kugongwa mwamba jitihada za kusitisha mapigano. Hii ni mara ya pili ambapo usitishaji vita unakiukwa huko Sudan kati ya jeshi la taifana kundi lenye nguvu la wanajeshi wa Kikosi cha Radiamali ya Haraka (RSF).

  • Mapigano yameanza tena katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum

    Mapigano yameanza tena katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum

    Apr 19, 2023 03:30

    Ripoti za vyombo vya habari zinaeleza kuwa mapigano yamezuka upya kati ya vikosi vya jeshi la Sudan vinavyoongozwa na Jenerali Abdel-Fattah al-Barhan na vikosi vya Radiamali ya Haraka RSF vinavyoongozwa na Mohammed Hamdan Daghlo maarufu kama Hamidati katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum.

  • Zaidi ya watu 180 wameuawa katika mapigano Sudan

    Zaidi ya watu 180 wameuawa katika mapigano Sudan

    Apr 18, 2023 03:35

    Takriban watu 185 wameuawa na wengine 1,800 kujeruhiwa katika mapigano ambaye yanaendelea kwa muda wa siku nne sasa kati ya pande zinazohasimiana nchini Sudan. Hayo ni kwa mujibu wa mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan huku jamii ya kimataifa ikitoa wito kwa pande hasimu kusitisha mapigano.

  • Umoja wa Afrika wakutana kuijadili Sudan;idadi ya vifo yakaribia 100

    Umoja wa Afrika wakutana kuijadili Sudan;idadi ya vifo yakaribia 100

    Apr 17, 2023 03:00

    Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika liliitisha kikao cha dharura jana kujadiliana hali ya kisiasa na usalama nchini Sudan.

  • Mapigano yaendelea nchini Sudan kwa siku ya tatu, kila upande unadai kudhibiti Ikulu ya Rais

    Mapigano yaendelea nchini Sudan kwa siku ya tatu, kila upande unadai kudhibiti Ikulu ya Rais

    Apr 16, 2023 22:44

    Mapigano makali yanaendelea katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, baada ya vita kuingia siku yake ya tatu, na zaidi ya watu 80 kuuliwa huku zaidi ya elfu moja wakijeruhiwa, kulingana na Shirika la Afya Duniani.

  • Juhudi za kufanya mapinduzi nchini Sudan

    Juhudi za kufanya mapinduzi nchini Sudan

    Apr 16, 2023 09:53

    Nchini Sudan hali si shwari ambapo habari kutoka nchini humo zinaonyesha kuendelea mapigano kati ya jeshi la Sudan na vikosi vya radiamali ya haraka na kuzusha wasiwasi wa kutokea mapinduzi katika nchi hiyo ya Kiafrika.

  • Mapigano ya kuwania madaraka baina ya majenerali yaingia siku ya pili nchini Sudan

    Mapigano ya kuwania madaraka baina ya majenerali yaingia siku ya pili nchini Sudan

    Apr 16, 2023 06:56

    Mapigano kati ya jeshi la Sudan na Vikosi vya Radiamali ya Haraka yameingia siku ya pili, huku milipuko ikisikika tangu alfajiri ya leo, Jumapili, karibu na Mji wa Michezo, kusini mwa mji mkuu, Khartoum.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS