Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Wasudani: Njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Sudan ni kuachia ngazi watawala wa kijeshi

    Wasudani: Njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Sudan ni kuachia ngazi watawala wa kijeshi

    Aug 20, 2022 03:18

    Upinzani dhidi ya utawala wa kijeshi nchini Sudan unaendelea ambapo waandamanaji wanasisitiza kuwa, njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo ni kuachia ngazi utawala wa kijeshi unaoongozwa na Jenerali Abdul-Fatah al-Burhan

  • Juhudi za kuiondoa Sudan kwenye mkwamo wa kisiasa

    Juhudi za kuiondoa Sudan kwenye mkwamo wa kisiasa

    Aug 15, 2022 23:38

    Juhudi za kutatua mzozo wa kisiasa nchini Sudan zinaendelea. Kuhusiana na hilo, Abd al-Fattah Al-Burhan, mtawala wa kijeshi wa Sudan, ametoa wito wa "kufikiwa makubaliano ya kitaifa" ili kuondokana na mgogoro wa sasa wa kisiasa nchini humo.

  • Wasudan waandamana kuunga mkono mpango wa kisiasa wa Jenerali al-Burhan

    Wasudan waandamana kuunga mkono mpango wa kisiasa wa Jenerali al-Burhan

    Aug 15, 2022 06:58

    Duru za habari zimeripoti kuwa, mamia ya Wasudan wameandamana kuunga mkono mpango wa kisiasa uliobuniwa na mkuu wa majeshi Brigedia Jenerali Abdel Fattah el-Burhan kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.

  • Mafuriko yaua watu zaidi ya 50 nchini Sudan

    Mafuriko yaua watu zaidi ya 50 nchini Sudan

    Aug 14, 2022 02:57

    Makumi ya watu wameaga dunia kufuatia mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali nchini Sudan.

  • Maiti 20 za wahajiri zapatikana katika mpaka wa Libya na Sudan

    Maiti 20 za wahajiri zapatikana katika mpaka wa Libya na Sudan

    Aug 13, 2022 06:54

    Maiti 20 za wahajiri haramu zimepatikana katika jangwa lililoko baina ya Libya na Sudan.

  • Waliopanga mapinduzi ya Sudan wakiri, wameshindwa kufikia malengo yao

    Waliopanga mapinduzi ya Sudan wakiri, wameshindwa kufikia malengo yao

    Aug 04, 2022 20:43

    Mgogoro wa kisiasa na kutoridhika kwa jamii nchini Sudan kumekuwa na taathira kubwa na pana, kwa kadiri kwamba "Mohamed Hamdan Dagalo", anayejulikana kama Hemetti, Makamu wa Rais wa Baraza la Uongozi la Sudan, amekiri kwamba: "Inasikitisha kuwa hatukuweza kufanya mabadiliko yoyote na sasa hali ya Sudan imekuwa mbaya zaidi."

  • Wafanyamapinduzi ya kijeshi wakiri kuwa wameshindwa kuleta mabadiliko Sudan

    Wafanyamapinduzi ya kijeshi wakiri kuwa wameshindwa kuleta mabadiliko Sudan

    Aug 02, 2022 03:11

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utawala nchini Sudan amekiri kuwa mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa nchini humo yameshindwa kuleta mabadiliko.

  • Waliouawa katika mapigano ya kikabila Sudan wapindukia 100

    Waliouawa katika mapigano ya kikabila Sudan wapindukia 100

    Jul 21, 2022 08:12

    Idadi ya watu waliouawa katika machafuko ya kikabila katika jimbo la Blue Nile kusini mashariki mwa Sudan imeongezeka na kufikia watu 105.

  • Ghasia na machafuko ya kikabila yashamiri zaidi Sudan, idadi ya waliouawa ni 79

    Ghasia na machafuko ya kikabila yashamiri zaidi Sudan, idadi ya waliouawa ni 79

    Jul 19, 2022 10:04

    Ghasia machafuko ya kikabila yaliyoanzia katika Jimbo la Blue Nile nchini Sudan yamepanuka zaidi na kuingia katika majimbo kadhaa ya nchi hiyo, huku maelfu ya watu wa kabila la Hausa wakiandamana na kufunga barabara katika maeneo kadhaa kupinga ghasia hizo, ambazo wanasema ziliwalenga wao katika Jimbo la Blue Nile.

  • Kiongozi wa kijeshi wa Sudan awateua wanajeshi watano kuwa mabalozi

    Kiongozi wa kijeshi wa Sudan awateua wanajeshi watano kuwa mabalozi

    Jul 11, 2022 03:18

    Kamanda wa jeshi la Sudan amewateua majenerali watano wa polisi, jeshi na askari usalama kuwa mabalozi wa Khartoum.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS