-
Mamilioni ya wananchi wa Sudan waandamana dhidi ya serikali ya kijeshi
Jan 18, 2023 05:06Mamilioni ya wananchi wa Sudan wameandamana Khartoum mji mkuu wa Sudan kwa mwaliko wa kamati ya uratibu wa mapambano katika maandamano yaliyopewa jina la "Tumechoka".
-
Al Burhan asisitiza vikosi vya ulinzi kujitoa katika shughuli za kisiasa
Jan 09, 2023 08:11Mkuu wa Baraza la Uongozi la Sudan amesisitiza kuhusu vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo kuachana na shughuli za kisiasa.
-
Watu wasiopungua 16 wamepoteza maisha katika ajali ya basi huko Omdurman, Sudan
Dec 27, 2022 11:22Basi ya abiria mapema leo liligonga lori lililokuwa limeegeshwa katika barabara kuu kwenye mji wa Omdurman huko Sudan na kuuwa watu wasiopungua 16.
-
Mapigano ya kikabila yaua watu wengine 7 Darfur, Sudan
Dec 25, 2022 04:09Mapigano ya kikabila yaliyozuka katika eneo la Darfur nchini Sudan yamesababisha vifo vya saba, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa.
-
Matukio ya Sudan na onyo la Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo
Dec 09, 2022 22:45Makubaliano ya kusuluhisha mgogoro wa kisiasa wa Sudan yametiwa saini na vyama vya kisiasa vya nchi hiyo katika hali ambayo wengi wana wasiwasi kuhusu mustakabali wa nchi hiyo na uingiliaji wa nchi za kigeni katika mambo ya ndani ya nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akaribisha makubaliano ya makundi ya Sudan
Dec 05, 2022 23:27Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha na kuunga mkono kusainiwa makubaliano kati ya makundi ya kiraia ya kisiasa na jeshi la Sudan kwa ajili ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini humo.
-
Wasudan wataka UN iache kuingilia masuala ya ndani ya nchi yao
Dec 04, 2022 03:38Maelfu ya wananchi wa Sudan wamefanya maandamano ya kupinga makubaliano ya amani yanayotazamiwa kusainiwa kesho Jumatatu kwa shabaha ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Pande hasimu nchini Sudan kusaini makubaliano ya kisiasa
Dec 03, 2022 08:25Makundi ya kiraia na utawala wa kijeshi unaongoza hivi sasa nchini Sudan zinatazamiwa kusaini makubaliano ya kisiasa Jumatatu ijayo, kwa shabaha ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Homa ya Dengue yaua makumi ya watu nchini Sudan
Nov 24, 2022 06:54Mamlaka za afya nchini Sudan zimetangaza habari ya kuaga dunia makumi ya watu kutokana na mripuko wa homa ya Dengi (Dengue) nchini humo.
-
Wasudan waandamana kupinga uingiliaji wa wageni katika masuala ya ndani ya nchi yao
Nov 20, 2022 06:21Wafuasi wa chama tawala cha zamani nchini Sudan na baadhi ya vyama vya kisiasa wameandamana mjini Khartoum, mji mkuu wa nchi hiyo, kupinga uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya ndani ya Sudan.