-
Jeshi la Sudan ladhibiti kikamilifu kiwanda kikubwa zaidi cha kusafisha mafuta nchini humo
Jan 26, 2025 06:54Jeshi la Sudan limeeleza kuwa limechukua udhibiti kamili wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha al Jaili karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum huku gavana mmoja wa nchi hiyo akiripoti kuuawa watu zaidi ya 70 katika shambulio la droni lililotekelezwa na wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) huko al Fasher magharibi mwa Sudan.
-
Jeshi la Sudan: Tumevunja mzingiro wa RSF Khartoum
Jan 25, 2025 11:35Jeshi la Sudan limetangaza habari ya kufanikiwa kuvunja 'mzingiro' uliowekwa na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) dhidi ya Kamandi Kuu ya jeshi hilo katikati mwa Khartoum, mji mkuu wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Jeshi la Sudan na RSF wapigana kuhusu kinu cha kusafisha mafuta kaskazini mwa Khartoum
Jan 24, 2025 03:36Mapigano makali yaliendelea kwa siku ya pili jana Alhamisi kati ya jeshi la Sudan na wanamgambo hasimu wa jeshi hiyo yaani Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) karibu na kinu cha kusafisha mafuta kaskazini mwa mji mkuu, Khartoum.
-
Sudan: Wanamgambo wa RSF wamekishambulia kituo cha umeme cha mji wa Dongola
Jan 21, 2025 07:11Jeshi la Sudan limewatuhumu wanamgambo wa kikosi cha (RSF) kwa kukishambulia kituo cha umeme kaskazini mwa nchi hiyo na kusababisha kukatika kwa umeme katika mji wa Dongola.
-
Sudan yakosoa hatua ya Marekani ya kumuwekea vikwazo kamanda wa jeshi la nchi hiyo
Jan 18, 2025 02:41Sudan imelaani na kukosoa uamuzi wa Wizara ya Fedha ya Marekani ya kumuwekea vikwazo kiongozi wa jeshi la nchi hiyo, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan.
-
Kiongozi wa Sudan: Mataifa ya kikoloni yanachochea migogoro Afrika
Jan 13, 2025 10:49Kiongozi wa Sudan Jenerali Abdel Fattah al Burhan amesema kuwa mataifa ya kikoloni yanachochea migogoro mbalimbali barani Afrika.
-
Al Burhan akataa kurejea katika mazingira kabla ya vita na kikosi cha RSF
Jan 01, 2025 12:31Kiongozi wa Baraza Kuu la Utawala la Sudan amesema ni jambo lisilowezekana kurejea katika hali ya kabla ya vita na mahasimu wao yaani wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) .
-
Sudan: Vyombo vya habari vya Magharibi vinapotosha ukweli kuhusu vita
Dec 30, 2024 12:20Waziri wa Habari na Utamaduni wa Sudan amevituhumu vyombo vya habari vya Magharibi kwa kupotosha uhakika wa mambo kuhusiana na vita vinavyoendelea nchini humo akisema kuwa vyombo hivyo vinaegemea upande wa kikosi cha RSF.
-
Sudan yaikosoa EU kwa kuwawekea vikwazo majenerali wake 2
Dec 20, 2024 02:51Sudan imelaani uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kuwawekea vikwazo majenerali wawili wa jeshi la nchi hiyo, ikieleza kuwa hatua hiyo ni potofu na yenye dosari.
-
Mauritania; mwenyeji wa mazungumzo ya amani ya Sudan
Dec 18, 2024 12:56Mauritania Jumatano hii imekuwa mwenyeji wa mashauriano yenye lengo la kurejesha amani nchini Sudan kufuatia ombi la Umoja wa Mataifa na kwa ushiriki wa wajumbe kutoka nchi na mashirika mbalimbali.