-
Raia 13 wauawa na wanamgambo wa RSF huko Darfur, Sudan
Aug 25, 2025 10:34Raia wasiopungua 13 wa Sudan wameripotiwa kuuawa na wapiganaji wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) huko Darfur Kaskazini.
-
Sudan yaripoti wagonjwa wapya wa kipindupindu 1,575, vifo 22
Aug 20, 2025 06:30Wizara ya Afya ya Sudan imetangaza kuwa wagonjwa 1,575 wapya wa kipindupindu na vifo 22 vimesajiliwa kote nchini humo katika muda wa wiki moja iliyopita.
-
Watu 21 waaga dunia kwa kipindupindu nchini Sudan katika muda wa wiki moja
Aug 06, 2025 06:52Wizara ya Afya ya Sudan jana ilitangaza kuwa raia wa nchi hiyo wasiopungua 21 wameaga dunia katika muda wa wiki moja baada ya kuugua kipindupindu huku maambukizo mapya yakiripotiwa kufikia 2,345.
-
UNICEF: Watoto Sudan wanakaribia katika ukingo wa madhara yasiyoweza kurekebishwa
Aug 05, 2025 14:41Kusimamishwa kwa ufadhili wa kimataifa wa fedha kunakisukuma kizazi chote cha watoto wa Sudan katika ukingo wa madhara yasiyoweza kurekebishwa huku idadi ya watoto walioathiriwa na utapiamlo nchini humo ikiongezeka. Haya ni kwa mujibu wa ripoti ya UNICEF.
-
Njaa yaongezeka katika mji wa al Fashir, Sudan
Aug 05, 2025 02:43Mamia ya maelfu ya watu waliozingirwa na jeshi la Sudan katika mji wa al Fashir katika jimbo la Darfur wanaishiwa na chakula huku wakikabiliwa na mashambulizi ya mara kwa mara ya droni na makombora.
-
Kwa nini serikali ya Sudan inachukulia uundaji wa serikali hasimu kuwa tishio kubwa?
Jul 29, 2025 10:56Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Sudan imelaani vikali tangazo la kuundwa serikali hasimu na Vikosi vya Msaada wa Haraka vinavyoongozwa na "Mohammed Hamdan Dagalo", anayejulikana kwa jina la "Hemedti".
-
Sudan yalaani vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi yake
Jul 20, 2025 14:07Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imeshutumu vikwazo vipya vilivyowekwa na Umoja wa Ulaya dhidi ya watu binafsi na mashirika ya Sudan, na kusisitiza kuwa havina "viwango vya uadilifu vya kisheria."
-
UN yalaani mauaji ya raia yaliyofanywa na pande zote mbili katika vita vya Sudan
Jul 18, 2025 05:28Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, amelaani mauaji ya raia kadhaa yaliyofanywa wiki iliyopita na pande zote mbili husika katika vita vya Sudan, katika mapigano yanayoendelea kwenye eneo la Kordofan.
-
UN: Tuna wasiwasi kutokana na kushtadi mapigano, taharuki Sudan
Jul 16, 2025 12:41Wahudumu wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa wamesema wana wasiwasi mkubwa kutokana na kuongezeka kwa mapigano nchini Sudan, hasa mashambulizi ya karibuni katika Jimbo la Kordofan Kaskazini.
-
Wanaharakati Sudan: RSF imeua watu 300 Kordofan Kaskazini
Jul 15, 2025 04:23Wanaharakati wa Sudan wamesema Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) kimeua karibu watu 300 katika wimbi jipya la mashambulizi katika jimbo la Kordofan Kaskazini, magharibi mwa nchi.