Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Sudan yalaani vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi yake

    Sudan yalaani vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi yake

    Jul 20, 2025 14:07

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imeshutumu vikwazo vipya vilivyowekwa na Umoja wa Ulaya dhidi ya watu binafsi na mashirika ya Sudan, na kusisitiza kuwa havina "viwango vya uadilifu vya kisheria."

  • UN yalaani mauaji ya raia yaliyofanywa na pande zote mbili katika vita vya Sudan

    UN yalaani mauaji ya raia yaliyofanywa na pande zote mbili katika vita vya Sudan

    Jul 18, 2025 05:28

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, amelaani mauaji ya raia kadhaa yaliyofanywa wiki iliyopita na pande zote mbili husika katika vita vya Sudan, katika mapigano yanayoendelea kwenye eneo la Kordofan.

  • UN: Tuna wasiwasi kutokana na kushtadi mapigano, taharuki Sudan

    UN: Tuna wasiwasi kutokana na kushtadi mapigano, taharuki Sudan

    Jul 16, 2025 12:41

    Wahudumu wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa wamesema wana wasiwasi mkubwa kutokana na kuongezeka kwa mapigano nchini Sudan, hasa mashambulizi ya karibuni katika Jimbo la Kordofan Kaskazini.

  • Wanaharakati Sudan: RSF imeua watu 300 Kordofan Kaskazini

    Wanaharakati Sudan: RSF imeua watu 300 Kordofan Kaskazini

    Jul 15, 2025 04:23

    Wanaharakati wa Sudan wamesema Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) kimeua karibu watu 300 katika wimbi jipya la mashambulizi katika jimbo la Kordofan Kaskazini, magharibi mwa nchi.

  • ICC: Uhalifu wa kivita, jinai dhidi ya binadamu vinaendelea Darfur, Sudan

    ICC: Uhalifu wa kivita, jinai dhidi ya binadamu vinaendelea Darfur, Sudan

    Jul 11, 2025 14:53

    Naibu Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC amesema kuna "sababu za kuamini kwamba uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu" unaendelea kufanywa katika eneo la magharibi mwa Sudan la Darfur,

  • IOM: Mamia ya familia za raia wa Sudan watoroka Kordofan kutoka na vita

    IOM: Mamia ya familia za raia wa Sudan watoroka Kordofan kutoka na vita

    Jul 10, 2025 21:06

    Mapigano kati ya jeshi la Sudan na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) yamelazimisha familia 700 kulikimbia Jimbo la Kordofan Kaskazini, huko kusini mwa Sudan, Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) lilisema hayo jana Alkhamisi.

  • Takriban watoto 239 wamefariki dunia magharibi mwa Sudan tangu Januari

    Takriban watoto 239 wamefariki dunia magharibi mwa Sudan tangu Januari

    Jun 30, 2025 08:00

    Takriban watoto 239 wameaga dunia magharibi mwa Sudan tangu mwezi Januari mwaka huu kutokana na ukosefu wa chakula na dawa za kutosha. Ripoti hii imetolewa na Mtandao wa Madaktari wa Sudan.

  • RSF yashambulia tena kambi ya wakimbizi na kuua 14 Darfur, Sudan

    RSF yashambulia tena kambi ya wakimbizi na kuua 14 Darfur, Sudan

    Jun 05, 2025 06:52

    Kwa akali watu 14 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulizi la mizinga la Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika jimbo la Darfur Kaskazini, magharibi mwa Sudan.

  • UNHCR: Mgogoro mpya Sudan Kusini “umeng’oa” zaidi ya watu 165,000 ndani ya miezi mitatu

    UNHCR: Mgogoro mpya Sudan Kusini “umeng’oa” zaidi ya watu 165,000 ndani ya miezi mitatu

    Jun 04, 2025 13:13

    Zaidi ya watu 165,000 wamelazimika kukimbia makazi yao na kukimbilia usalama wao maeneo mengi kutokana na mivutano na migogoro ambayo inazidi kuongezeka nchini Sudan Kusini katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.

  • UN: Wakimbizi milioni 4 wametoroka vita Sudan

    UN: Wakimbizi milioni 4 wametoroka vita Sudan

    Jun 04, 2025 06:08

    Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu milioni 4 wamekimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS